Nimeamua kuachana na white collar jobs je? Ni Chuo kipi kinafundisha vizuri focal lift

Hivi naomba kuuliza, mtu au dereva wa forklift analipwa sh ngapi katika ajira yake

Na mtu anayejua ku operate crane na sh ngapi analipwa
 
Una milion 60 babu ingia kwenye hii tovuti nit.ac.tz
Nakijua sana ....ingawa nilitamani nipate kilicho airport kabisa .....naraka more practical on daily basis.....sitaki story miiingiii.....
 
Hivi naomba kuuliza, mtu au dereva wa forklift analipwa sh ngapi katika ajira yake

Na mtu anayejua ku operate crane na sh ngapi analipwa
Ma operater wa Tower crane na Mobile crane huwa wanalipwa Elfu 70 kwa siku na hii ni nje ya overtime. Inamana kwasiku wanaweza kuondoka na zaidi ya hiyo.
 
Wakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka

Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu.

Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift?

Ada ni shingapi? na ni muda gani?
Jifunze kuwa mwizi alafu ukiweza mafunzo nenda south afrika utanishukuru sana.
 
Ma operater wa Tower crane na Mobile crane huwa wanalipwa Elfu 70 kwa siku na hii ni nje ya overtime. Inamana kwasiku wanaweza kuondoka na zaidi ya hiyo.
Unataka kuniambia 2.1M kwa mwezi.. Hivi course ya rigging & slinging hapo kuna chuo wanafunsha ?
 
Unataka kuniambia 2.1M kwa mwezi..
Ni zaidi hiyo kwasababu ya overtime. Na kama mradi utadumu kuanzia miezi sita na zaidi kama daraja la JPM Mwanza ambalo limetumia zaidi ya miaka 3 basi lazima utoke na mkwanja mrefu sana tena sana jumlisha NSSF, Utapenda.
Hivi course ya rigging & slinging hapo kuna chuo wanafunsha ?
Hii kozi ipo chuo cha bandari na hauitaji kuwa na leseni ya udereva Ili uisome ni wewe tu na pesa yako mafunzo ni wiki mbili na Ada yake ni 650,000Tsh😀😀😀.

NB: Kuna washkaji wengi tu wamejifunza ku operater crane na kuwa ma Rigger kwenye miradi ya wachina baadae wakatafuta leseni na mpaka sasa wanapiga mikwanja mirefu tu. Binafsi sikuwahi pata hiyo fursa.
 
Ni zaidi hiyo kwasababu ya overtime. Na kama mradi utadumu kuanzia miezi sita na zaidi kama daraja la JPM Mwanza ambalo limetumia zaidi ya miaka 3 basi lazima utoke na mkwanja mrefu sana tena sana jumlisha NSSF, Utapenda.

Hii kozi ipo chuo cha bandari na hauitaji kuwa na leseni ya udereva Ili uisome ni wewe tu na pesa yako mafunzo ni wiki mbili na Ada yake ni 650,000Tsh😀😀😀.

NB: Kuna washkaji wengi tu wamejifunza ku operater crane na kuwa ma Rigger kwenye miradi ya wachina baadae wakatafuta leseni na mpaka sasa wanapiga mikwanja mirefu tu. Binafsi sikuwahi pata hiyo fursa.
Najaribu kufikiria kuhusu hizo kozi kibongo bongo zikoje na mishahara yake ikoje pia. Binafsi sikuwa na idea na hiyo before, bali niko na experience na hivyo vitu vyote nilivyoviuliza

Lakini pia ata ada sio ghali sana maana hiyo ni investment unafanya kama ukipata kazi ni mara moja tuu pesa imerudi
 
Back
Top Bottom