glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,645
- 4,330
Umeongea ukweli, nime kaa TBL miaka 2 ,nimeona hiloUnamchongo au unaenda kusomea tu mara nyingi kazi za kuendesha mitambo kama iyo zinatolewaga Kwa connection na tena uwe umesota kwenye kiwanda au kampuni flani Kwa mda mrefu ndo upandishwe cheo upewe mambo la sivyo labda ukute mwenye kiwanda au kampuni anakujua ndo utapata tu from ni where