Nimeamua kuachana na white collar jobs je? Ni Chuo kipi kinafundisha vizuri focal lift

Unamchongo au unaenda kusomea tu mara nyingi kazi za kuendesha mitambo kama iyo zinatolewaga Kwa connection na tena uwe umesota kwenye kiwanda au kampuni flani Kwa mda mrefu ndo upandishwe cheo upewe mambo la sivyo labda ukute mwenye kiwanda au kampuni anakujua ndo utapata tu from ni where
Umeongea ukweli, nime kaa TBL miaka 2 ,nimeona hilo
 
Lakini mkuu samahani Ila ni wazo zuri majaribu kupita gerage nyingi sion kama watu wanapeleka magari yafanyiwe diagnosis wengi naona tu
Wanakadiria manually kwa macho, kama huku kwetu vifaa vya diagnosis mtaa naokaa vipo sehemu tatu tu
Hapana watu wanafanya vizuri sana
 
Unamchongo au unaenda kusomea tu mara nyingi kazi za kuendesha mitambo kama iyo zinatolewaga Kwa connection na tena uwe umesota kwenye kiwanda au kampuni flani Kwa mda mrefu ndo upandishwe cheo upewe mambo la sivyo labda ukute mwenye kiwanda au kampuni anakujua ndo utapata tu from ni where
Sasa mkuu kwa dunia hii ya Leo kuna kazi gani Inapatikana kirahisi

Maybe your suggesion au mawazo yako kwenye upande wa vyombo vya moto, ufundi na logistics wapi angalau kijana anaweza ingia akafight angalau mambo yaka kaa Sawa ukiachilia bajaji maana mimi ni driver bajaji kwa sasa pia, ni driver wa hzi land cruiser sometimes napeleka maboss kwenye mishe zao
 
Wakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka

Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu.

Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift?

Ada ni shingapi? na ni muda gani?
Forklift
 
Operators wa forklift wamekuwa wengi, nashauri somea

1. Grader au
2. Wheel loader

NB: Hakikisha unakuwa na weledi na ustadi wa hali ya juu, ni dili sana haswa migodini, waulize watingaji watakuchana
 
Mkuu hayo mavitu 😂hayo makubwa sana
 
Wakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka

Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu.

Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift?

Ada ni shingapi? na ni muda gani?
Inaelekea unapenda kufokoa fokoa sana lakini kuwa makini opportunity never come twice/?
 
Sasa mkuu kwa dunia hii ya Leo kuna kazi gani Inapatikana kirahisi

Maybe your suggesion au mawazo yako kwenye upande wa vyombo vya moto, ufundi na logistics wapi angalau kijana anaweza ingia akafight angalau mambo yaka kaa Sawa ukiachilia bajaji maana mimi ni driver bajaji kwa sasa pia, ni driver wa hzi land cruiser sometimes napeleka maboss kwenye mishe zao
Una leseni daraja gani mkuu?
 
Wakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka

Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu.

Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift?

Ada ni shingapi? na ni muda gani?
Nenda chuo cha usafirishaji yaani NIT
 
Wakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka

Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu.

Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift?

Ada ni shingapi? na ni muda gani?
Nenda NIT ada si chini ya laki 5
 
Back
Top Bottom