Inaelekea unapenda kufokoa fokoa sana lakini kuwa makini opportunity never come twice/?
Nimesoma hapo mkuu hakuna huyo kozi mzeeNenda chuo cha usafirishaji yaani NIT
Nina B, D mkuuUna leseni daraja gani mkuu?
ongeza C1 au E kazi ni nyingi sana TRA walitangaza nafasi 105 za C1Nina B, D mkuu
Asante mkuuπongeza C1 au E kazi ni nyingi sana TRA walitangaza nafasi 105 za C1
Nakijua sana ....ingawa nilitamani nipate kilicho airport kabisa .....naraka more practical on daily basis.....sitaki story miiingiii.....Una milion 60 babu ingia kwenye hii tovuti nit.ac.tz
Karibu mkuuNakijua sana ....ingawa nilitamani nipate kilicho airport kabisa .....naraka more practical on daily basis.....sitaki story miiingiii.....
Ma operater wa Tower crane na Mobile crane huwa wanalipwa Elfu 70 kwa siku na hii ni nje ya overtime. Inamana kwasiku wanaweza kuondoka na zaidi ya hiyo.Hivi naomba kuuliza, mtu au dereva wa forklift analipwa sh ngapi katika ajira yake
Na mtu anayejua ku operate crane na sh ngapi analipwa
Kazi zipo juzi tu walikua wanatafutwa watu waliojifunza hayo mambo mshahara mnonoIla angalia upatikanaji wake wa kazi si rahisi.
Jifunze kuwa mwizi alafu ukiweza mafunzo nenda south afrika utanishukuru sana.Wakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka
Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu.
Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift?
Ada ni shingapi? na ni muda gani?
Unataka kuniambia 2.1M kwa mwezi.. Hivi course ya rigging & slinging hapo kuna chuo wanafunsha ?Ma operater wa Tower crane na Mobile crane huwa wanalipwa Elfu 70 kwa siku na hii ni nje ya overtime. Inamana kwasiku wanaweza kuondoka na zaidi ya hiyo.
Ni zaidi hiyo kwasababu ya overtime. Na kama mradi utadumu kuanzia miezi sita na zaidi kama daraja la JPM Mwanza ambalo limetumia zaidi ya miaka 3 basi lazima utoke na mkwanja mrefu sana tena sana jumlisha NSSF, Utapenda.Unataka kuniambia 2.1M kwa mwezi..
Hii kozi ipo chuo cha bandari na hauitaji kuwa na leseni ya udereva Ili uisome ni wewe tu na pesa yako mafunzo ni wiki mbili na Ada yake ni 650,000Tshπππ.Hivi course ya rigging & slinging hapo kuna chuo wanafunsha ?
Najaribu kufikiria kuhusu hizo kozi kibongo bongo zikoje na mishahara yake ikoje pia. Binafsi sikuwa na idea na hiyo before, bali niko na experience na hivyo vitu vyote nilivyoviulizaNi zaidi hiyo kwasababu ya overtime. Na kama mradi utadumu kuanzia miezi sita na zaidi kama daraja la JPM Mwanza ambalo limetumia zaidi ya miaka 3 basi lazima utoke na mkwanja mrefu sana tena sana jumlisha NSSF, Utapenda.
Hii kozi ipo chuo cha bandari na hauitaji kuwa na leseni ya udereva Ili uisome ni wewe tu na pesa yako mafunzo ni wiki mbili na Ada yake ni 650,000Tshπππ.
NB: Kuna washkaji wengi tu wamejifunza ku operater crane na kuwa ma Rigger kwenye miradi ya wachina baadae wakatafuta leseni na mpaka sasa wanapiga mikwanja mirefu tu. Binafsi sikuwahi pata hiyo fursa.