Nimeamua kuachana naye baada ya kuniambia maneno haya

🤣🤣🤣🤣kumuacha ni kumuonea huko..mdada wa watu kaamua awe mkweli kuliko kudanganya kua uko peke yako😂😂.
 
🤣🤣🤣🤣kumuacha ni kumuonea huko..mdada wa watu kaamua awe mkweli kuliko kudanganya kua uko peke yako😂😂.
Huo ni ukatili maana nilishamkatia akanitell kuwa yuko single so nikajua mjuba nimeokota chombo ya Nai
 
Hamna ila ndo maana nikasema vibe zilikata aliponiambia nampelekea moto kuliko majamaa wengine nikajua kumbe hapa nimepigwa
Labda alimaanisha waliopita kipindi cha nyuma wewe ukatafsiri tofauti.
 
Tap Out....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…