Nimeamua kuachana naye baada ya kuniambia maneno haya

Kwani ulimkuta bikra? Au ulijua hawamkamui tui wanaume wengine acha hayo bwanamdogo demu ukiwa nae ndo wako ukiondoka wanabadili wengine
Ndo ukweli mchungu huo dingi yangu ila kupata mamsii ataekuchana hivyo ni kelele. Wengi wana pretend kuwa wako single kumbe kwenye foleni uko wa tenga dala (1500)
 
So ulimuokota club ukajua huwa hapelekewi moto na other niggaz?
Uliplan aje kuwa mke?
Alivokuwa msupuu asee niliplan angekuwa fuckmate wa muda mrefu
 
Huyu manzi tulikutana Nairobi, nilienda kwenye mbishe flani ya chap kwa haraka, mwenyeji wangu akanipeleka club moja inaitwa K1 Klub.

Hapo nilikutana na mamsi mmoja, ni msupuu siyo utani nikamkatia akakatika. Basi siku hiyo nikanunua tu pale vinywaji, alikuwa na beste zake tukapeana number.

Nikarudi zangu Chugga huku tukiendelea kuwasiliana. Baada ya miezi kama miwili nikarudi Nairobi, nikampanga tukakutana hotel moja rahisi jijini Nairobi.

Hapa na pale kwenye kwikwichi kwikwichhi manzi akapandwa mzuka akaniambia, "Quica you f*ck me better than the other niggas".

Mzuka ulikata asee, ila sikumuonyeshea pale pale. Sasa hivi nimerudi Chugga yule manzi tulizoea kuwasiliana kila siku, ila sasa hivi nimeamua kumuacha kutokana na maneno aliyoniambia.
😁😁😁 ss mkuu si kakusifia ss ww umekasirika nn
 
MTATUBUU mwaka huu😅😅
 
Nikisema msupuu ni kisu kinyama, sanchoka arudi kindergarten arif
Mkuu jaribu kua na akili ya uelewa,issue sio uzuri wa huyo demu wala ubaya wa huyo demu,issue hapa ni kua ulifikiri huko nyuma hakua na hao Niggas wengine? halafu hiyo kukwambia sijui u are better than others ni mbinu ya kivita tu hiyo,alikuingiza chaka na wewe ukaingia.
 
Back
Top Bottom