Ndo ukweli mchungu huo dingi yangu ila kupata mamsii ataekuchana hivyo ni kelele. Wengi wana pretend kuwa wako single kumbe kwenye foleni uko wa tenga dala (1500)Kwani ulimkuta bikra? Au ulijua hawamkamui tui wanaume wengine acha hayo bwanamdogo demu ukiwa nae ndo wako ukiondoka wanabadili wengine
So ulimuokota club ukajua huwa hapelekewi moto na other niggaz?Jomba manzi ni msupuu kinyama yani ni kama caste ya kisomali na kikuyu ana weupe fulani ambao huwezi upata KE. Nilijua hapo nimepata mama la maana ila ile neno "the other niggas" lilinikata handas.
Yupo single haimaanishi hajawahi kuwa naoHuo ni ukatili maana nilishamkatia akanitell kuwa yuko single so nikajua mjuba nimeokota chombo ya Nai
Asee hio mishe ni venye arif ainaga udasi!Haina kelele bablai sisi Wachugastan ni watu wa amani sana. Kama una hate haina kelele dingi yangu. Maana siku zote kizuri huwa kinapendwa na kuchukiwa na watu shazi. Uwezi mchukia Mdigo maana hana njaro yoyote mpya. Au unabongaje bablai Extrovert Chaliifrancisco Bushmamy
😁😁😁 ss mkuu si kakusifia ss ww umekasirika nnHuyu manzi tulikutana Nairobi, nilienda kwenye mbishe flani ya chap kwa haraka, mwenyeji wangu akanipeleka club moja inaitwa K1 Klub.
Hapo nilikutana na mamsi mmoja, ni msupuu siyo utani nikamkatia akakatika. Basi siku hiyo nikanunua tu pale vinywaji, alikuwa na beste zake tukapeana number.
Nikarudi zangu Chugga huku tukiendelea kuwasiliana. Baada ya miezi kama miwili nikarudi Nairobi, nikampanga tukakutana hotel moja rahisi jijini Nairobi.
Hapa na pale kwenye kwikwichi kwikwichhi manzi akapandwa mzuka akaniambia, "Quica you f*ck me better than the other niggas".
Mzuka ulikata asee, ila sikumuonyeshea pale pale. Sasa hivi nimerudi Chugga yule manzi tulizoea kuwasiliana kila siku, ila sasa hivi nimeamua kumuacha kutokana na maneno aliyoniambia.
Nimuone ili iweje?Bablai huyo manzi umemuona kwanza?
MTATUBUU mwaka huu😅😅Huyu manzi tulikutana Nairobi, nilienda kwenye mbishe flani ya chap kwa haraka, mwenyeji wangu akanipeleka club moja inaitwa K1 Klub.
Hapo nilikutana na mamsi mmoja, ni msupuu siyo utani nikamkatia akakatika. Basi siku hiyo nikanunua tu pale vinywaji, alikuwa na beste zake tukapeana number.
Nikarudi zangu Chugga huku tukiendelea kuwasiliana. Baada ya miezi kama miwili nikarudi Nairobi, nikampanga tukakutana hotel moja rahisi jijini Nairobi.
Hapa na pale kwenye kwikwichi kwikwichhi manzi akapandwa mzuka akaniambia, "Quica you f*ck me better than the other niggas".
Mzuka ulikata asee, ila sikumuonyeshea pale pale. Sasa hivi nimerudi Chugga yule manzi tulizoea kuwasiliana kila siku, ila sasa hivi nimeamua kumuacha kutokana na maneno aliyoniambia.
Wewe ndio hukua na uelewa,Hakuwa specific sasa
ss hy mwanamke kawa mkwel kaka piga kazi mpk umchomoe kizazi ili akucfie vzrDah ile kuwa anapelekewa moto na manigga wengine ndio ilinikata handas, bora asingebofonga hivyo
Mkuu jaribu kua na akili ya uelewa,issue sio uzuri wa huyo demu wala ubaya wa huyo demu,issue hapa ni kua ulifikiri huko nyuma hakua na hao Niggas wengine? halafu hiyo kukwambia sijui u are better than others ni mbinu ya kivita tu hiyo,alikuingiza chaka na wewe ukaingia.Nikisema msupuu ni kisu kinyama, sanchoka arudi kindergarten arif