Nimeamua kuachana naye kwa sababu ana mahusiano na wanaume wengi

Nimeamua kuachana naye kwa sababu ana mahusiano na wanaume wengi

ujanja

Member
Joined
Apr 3, 2021
Posts
7
Reaction score
39
Niliwahi kukutana na binti ni mwaka sasa umepita nilikua na.date ila rasimi nimejitoa takribani wiki sasa,

Msichana ni mrembo mzuri, ana shape alafu kiumri ni mdogo sana yuko under 22, ukimwangalia sura kama ya kitoto.

Ila nlkua nadate nae mpaka mama ake anajua, ila hajatulia maana wki mbili za kwanza kudate nae nligundua ana wanaume wanne, na nlpata namba leo kesho yake nkala mzigo.

Baada ya apo ukawa ni mwendelezo wa kula mzgo, sasa juzi rafko yake alinitonya mimi kwake skua kama mpenzi alkua ananiona kama chawa kwani kuna mwanaume alkua akiishi nae na kwako anawambia yuko hostel.

Na alkua na wanaume adi wa miaka 55, mwingne naskia alkua anamsifia ety hajachzewa sana kumbe shafanya adi abortion, ila skushiriki japo nljua kafanya.

Niliyvoskia mambo yake yote nlvokua mkorofi pamoja na kwenda anapokaa kumbe hua wananishangaa maana, ashwai adi kulala na wanaume ndani m wananiona mjinga,

Siku hio nlmtandika mikanda ntataka nmngoe adi meno ila nkamuacha sema kilichoniuma zaidi mpaka nkaamua kujitoa na nlvomwambia alilia kama kuku akitaka kuja nyumbani nilikataa kata kata.

Amenitangazia kwa rafk yake kati ya wanaume alio nao mimi niko nafasi ya 4 kwa wanaomridhsha japo ana wanaume wengi kama 10, akidai mimi nna uume mdogo ila mrefu ko namuumiza tumbo, na hana hisia na mm ata kukisex hana ushrikiano kikubwa nmalze nisepe na ni kwel[emoji28][emoji28]

Rafiki yake kasema nmtulize kwani ni mrembo, yaani kati ya wanaume si chini ya 10 nmtulize ina maana wengine wameshndwa mtu mpaka anakaa nae bado kashndwa kumtuliza iwe mimi, sahv aliniaidi ata simu yake niko free kuishika and everything ila tiari kachelewa, mimi ni mhuni sawa.

Ndio maana ndani ya miaka minne nmelala na wasichana 46, ila sio sababu niletewe magonjwa aisee, sisi ni wavulana kua na mschana mmoja haiwezekani nyie mtulie alafu mko wengi kulko sisi
 
Mbona wewe ndiyo malaya zaidi? Yeye ana wanaume 10 tu. Wewe umeshalalana na wanawake 46.

Upande mmoja unashangaa yeye kuwa na wanaume wengi. Upande mwingine unajisifia umelalana na wanawake wengi? Wewe ndiyo unastahili?

Ambaye amepiga bingo ni yeye. Kakupunguza mhuni unayejisifia. Wewe umemtandika mikanda, angepaswa akuchome na pasi kwenye makalio.

Upuuzi ni upuuzi tu!.
 
(Amenitangazia kwa rafiki ake kati ya wanaume alio nao mm niko nafasi ya 4 kwa wanaomridhisha japo ana wanaume wengine kama 10)Ameyasema hayo kwa rafiki ake
 
Aliyeelewa anieleweshe. Kwa uandishi huu, huyo msichana amefanya uamuzi sahihi kabisa.
 
Ashki majnun zinasumbua sana kwenye umri fulani.

SUKAH
 
IMG_20210528_100056.jpg
 
Mkuu hebu funguka sisi wana jf unataka tukusaidieje kwa hilo?
 
Kweli nimeamini nyani haoni kundule, yani wewe yako huoni ya mwenzio ndo unaona?
 
Back
Top Bottom