Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake

Karibu, Yesu ni Bwana na mwokozi wa maisha yetu, lakini ametufundisha tupendane bila kujali mila, utaifa wala dini hivyo basi si vizuri kukashifu Dini nyingine waombee na uiombee NAFSI YAKO .
 
Hii michezo ya kitoto😁

Mna trauma za kurubuniwa na ndugu zenu, mnatfuta completeness mitandaoni ndio maana kuwa hivi ndio furaha yenu

Mtabadirisha ID sana

Mtasapotiwa na wehu wenzenu

Hii yote kufanyia watu kuunda uhasama wa JF maana hamna kazi za kufanya, uhasam hewa😁 wa digital

Afya akili is real aisee

JF ndio baba na mama yenu, mnahemuka , mna stress mkishaona eli cohen na akaunti mzisozipenda, hii yote ni umasikini mlionaao

Bila ya kujua naenjoy hii ila nyie mnaandika na machozi maana JF ndio maisha yenu

LETS GOOOOπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Njoo nikuuzie chuo kidogo cha Sala.
Halafu pia nitakufundisha Nota maana Mimi ni mwalimu wa kwaya.

Kumbuka kule kwayani utakutana na mademu wazuri aina aina.
 
Mtabadirisha ID sana

Hii yote kufanyia watu kuunda uhasama wa JF maana hamna kazi za kufanya
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ ni yeye ndie aliamua kuingia anga zangu nakujiita Magayor Mongolian na kuweka avatar yangu. Sasa nimeamua kumjibu. Na hili litamuuma kweli. I will be a major permanent pain in hisass.

Maarass adriz de mbusii
 
Dogo najua una shida kichwani

Najua una iD nyingi

KWa hio endeelea kutunga uzi

Mwwmabie hadi mama ako akusaidie kujoin

Lets goooπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Kuna mambo yanatokea huku ulimwengu wa fake IDs unajiuliza mmiliki wa ID yupo sawa kiakili? Yuko bored?

Nwei, nahisi adriz de mbusii hausiki na haya maamuzi
Joannah heshima kwako. Nimemvumilia sana adriz. Lakini alivuka mpaka na kujiita Magayor Mongolian na kuweka picha avatar yangu. Sasa nimeamua kumjibu. No mercy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…