secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Basi naacha zote 😎Huku hatutaki mandumila
Kuwili chagua moja😎
Basi naacha zote 😎Huku hatutaki mandumila
Kuwili chagua moja😎
Banyamulenge ni nini? Ndumila kuwili ni mtu ambaye yuko huku na huku hanaga maamuzi kama tahira!😎mandumila kuwili ni nini
au ndio banyamulenge😆
Kwenye ukristo mnaruhusu mabwabwa na mapunga?Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Kwaanzia leo na muabudu Yesu. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake.
Siwezi kuendelea kuliabudu jiwe moja jeusi na kufuata mila za kiarabu.
Wakristo nikaribisheni.
Eli Cohen secretarybird Monetary doctor Beira Boy Seran min -me raraa reree dronedrake
Magayor Mongolian adriz de mbusii
Achana naye bana! Unajishusha hadhi kubishana upumbavu!Yaaani ni mtu mmoja anacheza kama pele😁😁
Umasikini mmbaya
Vizuri👌🏽Basi naacha zote 😎
ni mtu pia na washahabiana na huyo ndumilakuwili.Banyamulenge ni nini?
aah kumbeNdumila kuwili ni mtu ambaye yuko huku na huku hanaga maamuzi kama tahira!😎
HAKIKAAchana naye bana! Unajishusha hadhi kubishana upumbavu!
Mkuu watulize basi wadogo zako😅Kumbe kuna maparody adi huku😃😃
Aah kwakweli kiswahili ni kibantu! Nimekumanya!ni mtu pia na washahabiana na huyo ndumilakuwili.
aah kumbe
Usijibu kitu pita pembeni kama huoni!HAKIKA
NIMEGUNDUA HUYU DOGO ANA SHIDA KICHWANI
NA ALIEMPA SIMU SASA HIVI ANALIA 😁😁
Adriz hausikiKuna mambo yanatokea huku ulimwengu wa fake IDs unajiuliza mmiliki wa ID yupo sawa kiakili? Yuko bored?
Nwei, nahisi adriz de mbusii hausiki na haya maamuzi
Huwa ana vita na akina Maghayo 😃Mkuu watulize basi wadogo zako😅
Duhh sasa wanasimamisha jf nzima kwa vita vya kidini na mbingu hawaijui🙆🏽♀️Huwa ana vita na akina Maghayo 😃