Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,507
- 34,689
Kazi kwel kwel mkuuDuhh sasa wanasimamisha jf nzima kwa vita vya kidini na mbingu hawaijui🙆🏽♀️
Kazi kwel kwel mkuuDuhh sasa wanasimamisha jf nzima kwa vita vya kidini na mbingu hawaijui🙆🏽♀️
Adriz ana ID 7.Huwa ana vita na akina Maghayo 😃
Kanielezea aliyeleta mada hapo juu 😃Unaifahamu hii vita kumbe😃
Utasikia yoote mkuu😁😁Na nimesikia una ya kike ya kudangia! Kazi unayo😂
Dogo nembe ndio mambo yake hayaMi huwa naangalia tu 😅
Piga pini mkuu.Dogo nembe ndio mambo yake haya
Ila hawajui mimi naenjoy sana haya mambo
Kwa maaana hii ni trolling
Kwahiyo ww na secretarybird haya makundi yote mawili ya uhalifu hapa JF hampatani nayo?.Utasikia yoote mkuu😁😁
Wanadhani sasa eti utaumia
Digital shit kabisa uuumiie😁😁
HahahahKwahiyo ww na secretarybird haya makundi yote mawili ya uhalifu hapa JF hampatani nayo?.
Kundi la kwanza linaloongozwa na Ayatolah Adriz na parody zake na kund la pili kiongoz wake yuko mafichoni ila ni Maghayo family.😊😊😊😊
MkuuNimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Kwaanzia leo na muabudu Yesu. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake.
Siwezi kuendelea kuliabudu jiwe moja jeusi na kufuata mila za kiarabu.
Wakristo nikaribisheni.
Eli Cohen secretarybird Monetary doctor Beira Boy Seran min -me raraa reree dronedrake
Magayor Mongolian adriz de mbusii
AMANI YA BWANA iwe nawe karibu shambani mwa BWANA!Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Kwaanzia leo na muabudu Yesu. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake.
Siwezi kuendelea kuliabudu jiwe moja jeusi na kufuata mila za kiarabu.
Wakristo nikaribisheni.
Eli Cohen secretarybird Monetary doctor Beira Boy Seran min -me raraa reree dronedrake
Magayor Mongolian adriz de mbusii
Mkuu unabadili dini sasa ile ndoto yako ya kumuoa Niffah huoni kama inakufa?Nimeamua kubadili dini
Hii michezo ya kitoto
Tuko sana tu mtu wangu.Adriz ana ID 7.
Wale wavuta bangi na Mirungi kutoka Maghayo wana ID 22. 😊😊😊😊
Hii ya leo ni ID ya 23.
Ila kuna ile ID ya Adriz ilikuwa inakuja kujibu mashambulizi kama haya kwa Kupiga mabomu ya ballistic missile ila Siion sikuhizi.
Inaitwa Busu la Kenge. 😊😊😊😊
Shetani akimbiwi kwa kubadili dini kwa sababu shetani yupo hata kwenye ukristo....kwani nani kakuambia kuwa pasipo uislamu duniani shetani hayupo ?...kuna tofauti gani kati ya muhuni mwamposa na mudi boy ...wewe ndiyo akili za wale wapumbavu wanao tafuta kanisa la kweli katika madhehebu ...najua kuwa umeleta uzi kufanya dhihaka ila kuna elimu nimeona nikupe ...mwizi muislamu na mwizi mkristo wote ni wezi tu ..mambo ya mungu wa kweli msingi wake ni UTAKATIFU.Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Kwaanzia leo na muabudu Yesu. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake.
Siwezi kuendelea kuliabudu jiwe moja jeusi na kufuata mila za kiarabu.
Wakristo nikaribisheni.
Eli Cohen secretarybird Monetary doctor Beira Boy Seran min -me raraa reree dronedrake
Magayor Mongolian adriz de mbusii