Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake

Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake

Njoo nikuuzie chuo kidogo cha Sala.
Halafu pia nitakufundisha Nota maana Mimi ni mwalimu wa kwaya.

Kumbuka kule kwayani utakutana na mademu wazuri aina aina.
Hizi nyuzi ndizo zisababishazo ban, mimi napita tu mods sija-comment chochote negatively vs dini nyingine.
 
Kazi kwel kwel mkuu
Rafiki yako adriz kala ban. Aliamua kuingia anga za maghayo kaenda na maji 😄😄😄😄
Screenshot_20260719_172027_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom