MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Oya,mambo yameanza kuchangamka,kahama💃Na nimesikia una ya kike ya kudangia! Kazi unayo😂
Oya,mambo yameanza kuchangamka,kahama💃Na nimesikia una ya kike ya kudangia! Kazi unayo😂
Ongera kwa kupata Neema hiyo .Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Kwaanzia leo na muabudu Yesu. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake.
Siwezi kuendelea kuliabudu jiwe moja jeusi na kufuata mila za kiarabu.
Wakristo nikaribisheni.
Eli Cohen secretarybird Monetary doctor Beira Boy Seran min -me raraa reree dronedrake
Magayor Mongolian adriz de mbusii
Ila we jamaa ni moderatoradriz de mbusii aliyataka mwenyewe maamae
Mod alieko kazini muda huu kukupa ban ni kama unatema chini😁Hahaha Magayor Mongolian Akhi gTurn usifanye tena mchezo na mimi adriz kashakula ban huko hahaha 😆 😂 🤣
Una ugonjwa wa akili wewe. Hao unaosema wateule wa Mungu , hawamuamini Yesu. Acha ujingaNimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Kwaanzia leo na muabudu Yesu. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake.
Siwezi kuendelea kuliabudu jiwe moja jeusi na kufuata mila za kiarabu.
Wakristo nikaribisheni.
Eli Cohen secretarybird Monetary doctor Beira Boy Seran min -me raraa reree dronedrake
Magayor Mongolian adriz de mbusii
Nawatizama🥹,Mod alieko kazini muda huu kukupa ban ni kama unatema chini😁
Dah inabidi kwenda kwa step lasivyo ni Ban😆Nawatizama🥹,
Kuna watu watapoteana hapa😷Dah inabidi kwenda kwa step lasivyo ni Ban😆
Mpaka zamu yake iishe.
Na naona zinamwagwa kama njuguTulia mkuu utapigwa ban halafu kijiwe cha mbege kitapooza
kwa muda wa dakika 30 wamekula ban watu wanne na wengine watano wako chini ya uangalizi maalum.Kuna watu watapoteana hapa😷
Daah seran wamepita nae daah😥kwa muda wa dakika 30 wamekula ban watu wanne na wengine watano wako chini ya uangalizi maalum.
Ya kwake ni ya siku 14😊Daah seran wamepita nae daah😥
Nilivyoona Adriz wa watu Kala ban nikaona kabisa hatupo salamaNa naona zinamwagwa kama njugu
No ya siku 14Kwamba kuna watu 14 wamekula ban ndani ya muda mfupi hivii!
5hrsHivi minimum huwa ni muda gani
nilitoka kidogo kwan dada angu kimemkuta nini 😔Haya hatimaye fujo zimemfikia dada'ako🙌, imekuwaje wewe mpambe ukanusurika😁!
kwani kafanya niniDuru za ndani zinasema hatutakuwa nae jukwaani kwa takriban siku 14 . Labda msamaha wa mkurugenzi upite.