Nimeamua Kufanya Uamuzi Huu Ili Nijisomeshe...Msaada Tafadhali!!

Oppotunity

Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
38
Reaction score
12
heshima kwenu wanandugu...

Nayapenda sana maisha yangu na ninapenda sana nifanikiwe maishani hivyo sina budi kufanya hivi ili kusonga mbele. mimi ni mwanachuo katika chuo mojawapo hapa tz na kwasasa nina hali ngumu sana ya kifedha licha ya kujaribu njia tofauti ili kujikwamua na kusonga mbele.
Ninataka kuuza baadhi ya VIUNGO vya mwili wangu ili nipate walau ada ya kuendelea na masomo yangu niwe na maisha mazuri niweze kuwasaidia wadogo zangu na familia kwa ujumla.

Afya yangu kwa ujumla ni nzuri (99% uhakika) na ninataka niuze;
~FIGO ~KONGOSHO ~MBEGU ZA KIUME au DAMU ikiwezekana. hapa nachoomba kutoka kwenu ni kama kuna mtu yeyote anaejua ni hospitali gani au taasisi gani inanunua bidhaa hizo?. i am very serious and i will apreciate you contribution
 
pole sana mkuu, always bear in ur mind" progress iz not easy as u think" jaribu kuonana na mkuu wa mkoa he may help u! Akishindwa onana na watu wenye uwezo kama wakina mengi na wenzake wanaoendana na yeye. Usikate tamaa ur a man,pambana.
 
;
; thank you lugano nitajaribu kufanya hivyo ndugu!
 
Wewe ache ujinga,tumia viungo vyote kamili vilivyopo mwilini mwako upate mafanikio,unachotakiwa kufanya panga mipango kidogo kidogo ili uweze kutimiza malengo yako!!
Nikuulize swali unadhani kusoma ndo kufanikiwa kimaisha?(achana na mawazo haya) unaweza soma na kufikia level unayoitaka kwa kuuza hvyo viungo lakini haitategemea wala kutengeneza mafanikio yako na hapo ndo utapochanganikiwa kwa afya mgogoro na unaweza kufa mapema...!!
 
Duh Pole sana Mkuu. Ila Umenishtua sana. Sasa mteja akitaka vyote utabaki na nini?

sikutarajia kama nitacheka kwa alivyojieleza mdau ila imenibid nicheke. Umemuuliza ukweli kabisa.
 
Andika barua IPP Media yakuomba usomeshwe,na viambatanisho kwamba kweli unasoma na unashida,huwa wanatoa misaada kwa wagonjwa na wanafunzi wasioweza kulipa ada.ofisi zao zipo Posta,sikumbuki hiyo plaza inaitwaje.bt search kwenye internet ofisi za IPP media ziko wapi.Mungu ni mwema utafanikiwa bila ya kuuza viungo vyako,just keep praying.
 
Pole sana kaka wala usijali endelea kupambana utafanikiwa tu

Usikate tamaa ata kidogo
 
Andika barua IPP Media yakuomba usomeshwe,na viambatanisho kwamba kweli unasoma na unashida,huwa wanatoa misaada kwa wagonjwa na wanafunzi wasioweza kulipa ada.ofisi zao zipo Posta,sikumbuki hiyo plaza inaitwaje.bt search kwenye internet ofisi za IPP media ziko wapi.Mungu ni mwema utafanikiwa bila ya kuuza viungo vyako,just keep praying.

IPP ipo posta pale afike hidery plaza floor namba 7 ila walinzi wanaroho mbaya saana

Watamzuia na wana masharti yao yasio na kichwa wala miguu....ila ajaribu maybe anaeza fanikiwa kikubwa usikate tamaa

Always a winner is the one who dares to try!!
 
Wewe ache ujinga,tumia viungo vyote kamili vilivyopo mwilini mwako upate mafanikio,unachotakiwa kufanya panga mipango kidogo kidogo ili uweze kutimiza malengo yako!!
Nikuulize swali unadhani kusoma ndo kufanikiwa kimaisha?(achana na mawazo haya) unaweza soma na kufikia level unayoitaka kwa kuuza hvyo viungo lakini haitategemea wala kutengeneza mafanikio yako na hapo ndo utapochanganikiwa kwa afya mgogoro na unaweza kufa mapema...!!

;
; nimekuelewa ndugu asante kwa ushauri wako mzuri i will work on it!!!
 
IPP ipo posta pale afike hidery plaza floor namba 7 ila walinzi wanaroho mbaya saana

Watamzuia na wana masharti yao yasio na kichwa wala miguu....ila ajaribu maybe anaeza fanikiwa kikubwa usikate tamaa

Always a winner is the one who dares to try!!

;
; i want to be a winner so i must dare to try. leo leo naenda posta i hope god will make a way for me asante mkuu!!
 
Chuo sio kama sekondary, unaweza ukasoma and at the same time ukafanya kazi, ajira mbona zipo, hangaika kijana
 
Sasa ukiuza viungo utayapataje hayo maisha unayoyataka. Kuna uzi wa cprograming unahusu kazi ambazo unaweza kuzfanya huko dar na hazhtaji kusomea. Pigana na maisha usiwaze kuweka viungo bond! Be a man.
 
heshima kwenu wanandugu...

Nayapenda sana maisha yangu na ninapenda sana nifanikiwe maishani hivyo sina budi kufanya hivi ili kusonga mbele. mimi ni mwanachuo katika chuo mojawapo hapa tz na kwasasa nina hali ngumu sana ya kifedha licha ya kujaribu njia tofauti ili kujikwamua na kusonga mbele.
Ninataka kuuza baadhi ya VIUNGO vya mwili wangu ili nipate walau ada ya kuendelea na masomo yangu niwe na maisha mazuri niweze kuwasaidia wadogo zangu na familia kwa ujumla.

Afya yangu kwa ujumla ni nzuri (99% uhakika) na ninataka niuze;
~FIGO ~KONGOSHO ~MBEGU ZA KIUME au DAMU ikiwezekana. hapa nachoomba kutoka kwenu ni kama kuna mtu yeyote anaejua ni hospitali gani au taasisi gani inanunua bidhaa hizo?. i am very serious and i will apreciate you contribution
vipi na kiganja unauza?.ooh sorry.
 
Tafuta mahospital ya nje kama india,israel etc ndo kuna hizo biashara,kama za figo na wanalipa pesa ndefu tu.
 
Back
Top Bottom