Ilikuwaje? kwani.Ndo maana mwaka 2012 nilimtukana sana mganga.
Aliniambia nimletee maji ya bahari wakati mimi naishi ArushaIlikuwaje? kwani.
1.mganga anakunywa kinywaji gani? KWENYE BAA YAKO 2. Mganga ameshiba ?KWENYE BAA YAKO. 3. Mganga alipigiwa nyimbo zake KWENYE BAA YAKO? 4.mganga alipata mishangazi au vibinamu KWENYE BAA YAKO?Mtoa mada bado yupo kwenye bar yake anakunywa 😂
Mganga mkuu! akikuanfukia dawa mbili mara tatu lazima ufuateMmh sijaelewa umefunga sabab mganga kasema
akisema mapafu yako yana BMW lazima uaminiMmh sijaelewa umefunga sabab mganga kasema
NAshangaa wewe sioa platnum member au muchango yako haina maana? Na upo kwenye kila uzi🤣🤣🤣Mtoa mada bado yupo kwenye bar yake anakunywa 😂
Sina kazi ya kufanya ndo mana nipo kwenye kila uzi, nipeni kazi wakuu, kukaa JF saa 24 jau 😂NAshangaa wewe sioa platnum member au muchango yako haina maana? Na upo kwenye kila uzi🤣🤣🤣
Inabidi mods wakuzingatie