Nimeamua kuharibu mwili Ili nipate pesa

Nimeamua kuharibu mwili Ili nipate pesa

Hiyo title ya uzi wako ina ukakasi sana, ungejaribu kuiweka sawa kabla vijana wa hovyo hawajaanza mijineno yao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpo wapi huko pa siko na mashine za kupandisha zege juu
 
Straight to the point. Ni hivi nimeamua kuuharibu mwili Ili nipate pesa kwanza mambo ya "afya ni uhai" kwangu niujinga tu. Sasa wakuu nahitaji kujua mambo manne yafuatayo.

1.Nataka kujua ni energy drink gani nzuri?

2. Nataka kujua nichanganye energy drink na kitu gani Ili nisichoke haraka.

3. Nataka kujua pia ni dawa gani aina ya pain Killer nayoweza kuitumia wakati nimeanza kuchoka Ili nikate maumivu na uchovu Ili nizidi kupiga kazi nzito zaidi.

4. Je naweza kuitumia painkiller na energy drink kwa wakati mmoja.

Wakuu sihitaji ushauri mwingine zaidi ya hayo mambo matatu niliyoyataja hapo juu.

NB:Kazi nayopiga ni ya zege tunapandisha ghorafa ya pili. Malipo ni makubwa na nina madeni kila Kona kwahiyo nilazima nifanye hii kazi Ili nilipe madeni ya watu niishi kwa amani na pia nikomboe vyeti vyangu vya maskuli.

Hii picha sio Mimi ila ni moja kati ya kazi zetu ngumu tu.
View attachment 2772465
Hatari Danger!
 
Kaka nimekuelewa sana kuwa hutaki ushauri ila unapoona mtu anaelekea kuumia lazima uzibe masikio kidogo.

1. Unaposema "afya ni uhai" ni ujinga tuu, hizo hela unazo tengeneza huta enjoy utakuja kutumia kujitibu badae
2. Mzee hizo energy drink tumia kwa kiasi, usifanye sifa utakuja pata magonjwa ya moyo
3. Mzee mwili ukichoka umechoka, mwili ukifika limit unatakiwa kupumzika sasa ww ukitumia hizo pain killer zina addiction mbaya sana, ukitumia sana mwili utadhoofika utakuwa kila siku inabidi utumie ili usisikie uchovu, yatakuua mzee hayo madawa.
4. Ukichanganya pain killer na energy drink ini lako litafeli au utakuja kupata magonjwa ya ini.

Najua maisha ni magumu alaf una madeni ila usije fanya ndo sababu ya kujiua, maana hayo mambo uliyosema ukiyafanya kweli utaishi kwa tabu sana badae, utajuta mzee, hizo hela utatumia kujitibu ukiwa umelazwa.

Ushauri wangu, ukichoka pumzika vizur, usiku pata muda mwingi wa kulala, tumia sana ndizi na parachichi, kunywa maji mengi na muombe sana mungu, nguvu unazohitaji zitakuja.
 
Back
Top Bottom