M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,268 Reaction score 7,119 Nov 11, 2025 #1 Huu ndio ukweli usiopingika. Hawa watu hawana siasa za kibiashara kama Mbowe Misimamo yao ni kulinda rasilimali za taifa letu. Kupinga utekaji na unyanyasaji. Kupinga wizi wa kura kwakutaka katiba mpya.
Huu ndio ukweli usiopingika. Hawa watu hawana siasa za kibiashara kama Mbowe Misimamo yao ni kulinda rasilimali za taifa letu. Kupinga utekaji na unyanyasaji. Kupinga wizi wa kura kwakutaka katiba mpya.
Stoneboy JF-Expert Member Joined Apr 4, 2019 Posts 230 Reaction score 387 Nov 11, 2025 #2 Mwanzo ulikuwa wapi au aibu, zinawashika.
M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,268 Reaction score 7,119 Nov 11, 2025 Thread starter #3 Stoneboy said: Mwanzo ulikuwa wapi au aibu, zinawashika. Click to expand... Kwenda zako huko?
Mikopo Consultant JF-Expert Member Joined Oct 28, 2024 Posts 2,375 Reaction score 4,784 Nov 11, 2025 #4 Stoneboy said: Mwanzo ulikuwa wapi au aibu, zinawashika. Click to expand... Apokelewe bila masimango 'wanaotubu kwa moyo wana nafasi yao kwenye utawala wa Mungu'
Stoneboy said: Mwanzo ulikuwa wapi au aibu, zinawashika. Click to expand... Apokelewe bila masimango 'wanaotubu kwa moyo wana nafasi yao kwenye utawala wa Mungu'
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 24,661 Reaction score 40,890 Nov 11, 2025 #5 Muuza Kangala said: Huu ndio ukweli usiopingika. Hawa watu hawana siasa za kibiashara kama Mbowe Misimamo yao ni kulinda rasilimali za taifa letu. Kupinga utekaji na unyanyasaji. Kupinga wizi wa kura kwakutaka katiba mpya. Click to expand... Aisee wewe kabisa? Au ndio akaunti ya musiba hii haaahaaa
Muuza Kangala said: Huu ndio ukweli usiopingika. Hawa watu hawana siasa za kibiashara kama Mbowe Misimamo yao ni kulinda rasilimali za taifa letu. Kupinga utekaji na unyanyasaji. Kupinga wizi wa kura kwakutaka katiba mpya. Click to expand... Aisee wewe kabisa? Au ndio akaunti ya musiba hii haaahaaa