Python Newbie
Member
- Jul 17, 2017
- 77
- 50
- Thread starter
-
- #61
Namshauri akimaliza basics, asome alot of python code. Wakati huo huo aanze kudevelop web applications kwa kutumia microframeworks kwa mfano flask, webpy, bottle, wheezyweb etc, zote hizo ni za Python. Write and Read alot of code!
Ata mimi naendelea kusoma python na kwasasa nimefika kwenye Object-oriented programming(OOP) naombeni msaada niweze kuelewa jinsi Class inavyofanya kazi?
Shusha madini kaka !Nafurahi sana uku nimekutana na wenzangu mnaojifunza Python kama mimi
Kesho nitaweka maswali ili tushare mkuuShusha madini kaka !
Lete pia na projects ambazo umeshafanya au kama hujafanya jitahidi kila step unayosoma unaifanyia ka_project ili kuelewa zaidi unachosoma na iwe ngumu kusahauKesho nitaweka maswali ili tushare mkuu
Sawa Asante sanaLete pia na projects ambazo umeshafanya au kama hujafanya jitahidi kila step unayosoma unaifanyia ka_project ili kuelewa zaidi unachosoma na iwe ngumu kusahau
Qn1: Write a Program to Calculate Factorial of a Number.....
Na umeshasoma nini mpaka sasa kwenye python.... nadhani kuna simple exercises zinaweza kukusaidia kuelewaQn1: Write a Program to Calculate Factorial of a Number.....
Nasoma kupitia online tutorial kama una material naomba nisaidieNa umeshasoma nini mpaka sasa kwenye python.... nadhani kuna simple exercises zinaweza kukusaidia kuelewa
Umeelewa hiyo code hapo juu ? Mimi natumia website ya codecademy tu !Nasoma kupitia online tutorial kama una material naomba nisaidie
Hivyo viprogram vidogodogo havitakusaidia kuelewa python. Soma language basics vizuri kwa mfano python data structures, functions, classes, decorators. Baada ya hapo, tafuta any python microframework for web development, mimi wakati huo nilichagua webpy, hata wewe unaweza kuichagua, kwasababu it's so Pythonic, no magic kuanzia model, views na controller creation. Utaona Python in action live/mubashara!Umeelewa hiyo code hapo juu ? Mimi natumia website ya codecademy tu !
Hujanielewa labda....hizo basics nazisoma kwa hatua ila kila kipengele ninachomaliza najaribu kufanya mazoezi katika real life ili kuelewa vizuri. Maana ningeanzaje kufanya hivyo kama sijasoma basics... Ni utaratibu wangu wa kujifunzaHivyo viprogram vidogodogo havitakusaidia kuelewa python. Soma language basics vizuri kwa mfano python data structures, functions, classes, decorators. Baada ya hapo, tafuta any python microframework for web development, mimi wakati huo nilichagua webpy, hata wewe unaweza kuichagua, kwasababu it's so Pythonic, no magic kuanzia model, views na controller creation. Utaona Python in action live/mubashara!
Pamoja sana kiongozi ! Tunajifunza kwa hatuaPython one of the best language so far kijana Mimi hii lugha na Kama miaka 10 naitumia na inazidi kukua last week imekwea namba moja kwenye ranking ya lugha maarafu kwa Sasa. Kama wewe ni mpenzi wa Data analysis basi hiI lugha itakufaa sana.
Mimi nimpenza wa Artificial IntelligencePython one of the best language so far kijana Mimi hii lugha na Kama miaka 10 naitumia na inazidi kukua last week imekwea namba moja kwenye ranking ya lugha maarafu kwa Sasa. Kama wewe ni mpenzi wa Data analysis basi hiI lugha itakufaa sana.
Unapatikana wapi mkuu?Hujanielewa labda....hizo basics nazisoma kwa hatua ila kila kipengele ninachomaliza najaribu kufanya mazoezi katika real life ili kuelewa vizuri. Maana ningeanzaje kufanya hivyo kama sijasoma basics... Ni utaratibu wangu wa kujifunza