Hell2Heaven
Senior Member
- Mar 3, 2021
- 173
- 465
Hello Guys!
Kama unatokea familia ya kiganga au wewe ni Mchawi unaye loga, tunajua haya mambo niya siri, sawa lakini nakuomba utupe tu dondoo mnavyo fanyaga mpaka mka mfunga mtu asiweze pata kazi, mkaweza kuharibu mtu akachanga nyikiwa, mkaweza kufanya mtu asipendwe wala marafiki wasiwe naye karibu, au kumfunga asishike hela maisha yawe mabaya , Mka weza kuwa, mkafanya hata akisali Maombi yasiwe msaada.
Kwa kuwa wengi hatujuani hapa kwa majina, na account zetu hizi ni fake kwa majina, au pia unaweza fungua account nyingine ikiwa wewe ni mchawi na unahisi account hii ya sasa isha zoeleka na hutaki kuitumia kutupa dondoo za siri ya uchawi..
Naya andika haya maana, Familia yangu imetendewa unyama na wachawi kwa miaka 30, na tumezunguka kwenye maombi Mengi ila wapi ndugu bado wanateseka nikiwamo Mimi, alafu baada ya miaka yote ya maombi bado hali ya familia inazidi kuwa Mbaya,
Nimeamua sasa nataka kujifunza uchawi unavyo fanya kazi mpaka Hata Mungu ana kwepa kuwatoa watu kwenye mateso walio tengenezewa na viumbe wake bila hatia kwa miaka yote hii 30,
Wengi mtajiuliza tumejuaje kama ni uchawi.. Nikwamba kila tunapoenda kwenye maombi baadhi ya Ndugu huanguka na kupandisha miroho inayo jieleza kuwa ilitumwa na wanawake wawili kufunga na kuharibu mstaka bali wa hii familia na huwa inajieleza kuwa kila kitu tunacho pitia ni yenyewe imefunga,.
Ajira, kuoa, kushika hela, maelewano kuwa mabovu , kuuwa watu katika ukoo, pia mzee alifariki ila hiyo miroho huwa inasema wala mzee hakufa kifo cha kweli ila ameshikiliwa mahali na Hao wanawake wa wili, kisha huwataja kabisa majina hao wana wake, na tuna wajua wapo katika familia, lakin ajabu kila siku kwa miaka yote katika makanisa na maombezi mbali mbali ..tena kwa watumishi wakubwa Hapa dar, Arusha, Mikoni..
Kila tukitafuta msaada wa maombi.. ile miroho ipo tu .. miaka karibia 30. sasa familia inateseka vile vile miroho ipo Maombi tunafanya.. hali ile ile..
Sasa leo nimewaza sana nimeamua kutaka kujifunza huu uchawi una nguvu kiasi gani kwa Mungu nataka kujua Mbinu zake .. ili kama ita nilazimu kuingia uko ili kuikomboa familia basi nijue naingia rasmi..
Kwa Mungu hakuna majibu, watumishi karibia 17 nisha washirikisha tangu tuanze kupitia haya, Mm mwenyewe nimeefunga na kusali sana kwa miaka 7 yenye serious prayers ila wapi hali ile ile plus ndoto za mateso na mbaya kila wakati..
Naombeni pia Anaye Jua mganga mwenye uwezo wa kufungua uchawi mzito kwenye familia kama hii yangu Mnisaidie jina lake na maeneo aliyopo.. SINA JINSI TENA NAHITAJI KUFIKIA MWISHO WA HAYA MATESO.
ASANTENI.