Nimeamua kujifunza uchawi kwa kuwa wachawi wamekuwa wakiitesa familia yetu kwa muda mrefu

Hell2Heaven

Senior Member
Joined
Mar 3, 2021
Posts
173
Reaction score
465
Hello Guys!

Kama unatokea familia ya kiganga au wewe ni Mchawi unaye loga, tunajua haya mambo niya siri, sawa lakini nakuomba utupe tu dondoo mnavyo fanyaga mpaka mka mfunga mtu asiweze pata kazi, mkaweza kuharibu mtu akachanga nyikiwa, mkaweza kufanya mtu asipendwe wala marafiki wasiwe naye karibu, au kumfunga asishike hela maisha yawe mabaya , Mka weza kuwa, mkafanya hata akisali Maombi yasiwe msaada.

Kwa kuwa wengi hatujuani hapa kwa majina, na account zetu hizi ni fake kwa majina, au pia unaweza fungua account nyingine ikiwa wewe ni mchawi na unahisi account hii ya sasa isha zoeleka na hutaki kuitumia kutupa dondoo za siri ya uchawi..

Naya andika haya maana, Familia yangu imetendewa unyama na wachawi kwa miaka 30, na tumezunguka kwenye maombi Mengi ila wapi ndugu bado wanateseka nikiwamo Mimi, alafu baada ya miaka yote ya maombi bado hali ya familia inazidi kuwa Mbaya,

Nimeamua sasa nataka kujifunza uchawi unavyo fanya kazi mpaka Hata Mungu ana kwepa kuwatoa watu kwenye mateso walio tengenezewa na viumbe wake bila hatia kwa miaka yote hii 30,

Wengi mtajiuliza tumejuaje kama ni uchawi.. Nikwamba kila tunapoenda kwenye maombi baadhi ya Ndugu huanguka na kupandisha miroho inayo jieleza kuwa ilitumwa na wanawake wawili kufunga na kuharibu mstaka bali wa hii familia na huwa inajieleza kuwa kila kitu tunacho pitia ni yenyewe imefunga,.

Ajira, kuoa, kushika hela, maelewano kuwa mabovu , kuuwa watu katika ukoo, pia mzee alifariki ila hiyo miroho huwa inasema wala mzee hakufa kifo cha kweli ila ameshikiliwa mahali na Hao wanawake wa wili, kisha huwataja kabisa majina hao wana wake, na tuna wajua wapo katika familia, lakin ajabu kila siku kwa miaka yote katika makanisa na maombezi mbali mbali ..tena kwa watumishi wakubwa Hapa dar, Arusha, Mikoni..

Kila tukitafuta msaada wa maombi.. ile miroho ipo tu .. miaka karibia 30. sasa familia inateseka vile vile miroho ipo Maombi tunafanya.. hali ile ile..

Sasa leo nimewaza sana nimeamua kutaka kujifunza huu uchawi una nguvu kiasi gani kwa Mungu nataka kujua Mbinu zake .. ili kama ita nilazimu kuingia uko ili kuikomboa familia basi nijue naingia rasmi..

Kwa Mungu hakuna majibu, watumishi karibia 17 nisha washirikisha tangu tuanze kupitia haya, Mm mwenyewe nimeefunga na kusali sana kwa miaka 7 yenye serious prayers ila wapi hali ile ile plus ndoto za mateso na mbaya kila wakati..

Naombeni pia Anaye Jua mganga mwenye uwezo wa kufungua uchawi mzito kwenye familia kama hii yangu Mnisaidie jina lake na maeneo aliyopo.. SINA JINSI TENA NAHITAJI KUFIKIA MWISHO WA HAYA MATESO.

ASANTENI.
 
Mkuu umeamua kuja na slogan "If you can't beat them, join them"

Lengo la kutaka kujifunza huo uchawi ni nini haswa?

-Uague familia yako?

-Uwaloge hao akina mama 2 au uwaue kabisa?

** Ukishaingia huwezi kutoka, uko tayari kuingia kwenye huo ulimwengu??
Hell2Heaven haliakisi unachotaka kujifunza; unataka kutoka au unataka kuingia??

Pole sana tho sijui kwa nini plan A imefeli kwa muda wote huo.

Anyway ngoja wadau waliopitia hayo mapito wakavuka wakusaidie, kila la heri!!
 
Iulize familia yako au ya mke wako
Hello Guys!

Kama unatokea familia ya kiganga au wewe ni Mchawi unaye loga, tunajua haya mambo niya siri, sawa lakini nakuomba utupe tu dondoo mnavyo fanyaga mpaka mka mfunga mtu asiweze pata kazi, mkaweza kuharibu mtu akachanga nyikiwa, mkaweza kufanya mtu asipendwe wala marafiki wasiwe naye karibu, au kumfunga asishike hela maisha yawe mabaya , Mka weza kuwa, mkafanya hata akisali Maombi yasiwe msaada.

Kwa kuwa wengi hatujuani hapa kwa majina, na account zetu hizi ni fake kwa majina, au pia unaweza fungua account nyingine ikiwa wewe ni mchawi na unahisi account hii ya sasa isha zoeleka na hutaki kuitumia kutupa dondoo za siri ya uchawi..

Naya andika haya maana, Familia yangu imetendewa unyama na wachawi kwa miaka 30, na tumezunguka kwenye maombi Mengi ila wapi ndugu bado wanateseka nikiwamo Mimi, alafu baada ya miaka yote ya maombi bado hali ya familia inazidi kuwa Mbaya,

Nimeamua sasa nataka kujifunza uchawi unavyo fanya kazi mpaka Hata Mungu ana kwepa kuwatoa watu kwenye mateso walio tengenezewa na viumbe wake bila hatia kwa miaka yote hii 30,

Wengi mtajiuliza tumejuaje kama ni uchawi.. Nikwamba kila tunapoenda kwenye maombi baadhi ya Ndugu huanguka na kupandisha miroho inayo jieleza kuwa ilitumwa na wanawake wawili kufunga na kuharibu mstaka bali wa hii familia na huwa inajieleza kuwa kila kitu tunacho pitia ni yenyewe imefunga,. ajira, kuoa, kushika hela, maelewano kuwa mabovu , kuuwa watu katika ukoo, pia mzee alifariki ila hiyo miroho huwa inasema wala mzee hakufa kifo cha kweli ila ameshikiliwa mahali na Hao wanawake wa wili, kisha huwataja kabisa majina hao wana wake, na tuna wajua wapo katika familia, lakin ajabu kila siku kwa miaka yote katika makanisa na maombezi mbali mbali ..tena kwa watumishi wakubwa Hapa dar, Arusha, Mikoni.. Kila tukitafuta msaada wa maombi.. ile miroho ipo tu .. miaka karibia 30. sasa familia inateseka vile vile miroho ipo Maombi tunafanya.. hali ile ile..

Sasa leo nimewaza sana nimeamua kutaka kujifunza huu uchawi una nguvu kiasi gani kwa Mungu nataka kujua Mbinu zake .. ili kama ita nilazimu kuingia uko ili kuikomboa familia basi nijue naingia rasmi..

Kwa Mungu hakuna majibu, watumishi karibia 17 nisha washirikisha tangu tuanze kupitia haya, Mm mwenyewe nimeefunga na kusali sana kwa miaka 7 yenye serious prayers ila wapi hali ile ile plus ndoto za mateso na mbaya kila wakati..

Naombeni pia Anaye Jua mganga mwenye uwezo wa kufungua uchawi mzito kwenye familia kama hii yangu Mnisaidie jina lake na maeneo aliyopo.. SINA JINSI TENA NAHITAJI KUFIKIA MWISHO WA HAYA MATESO.

ASANTENI.
E
 
Mkuu umeamua kuja na slogan "If you can't beat them, join them"
Lengo la kutaka kujifunza huo uchawi ni nini haswa??
-Uague familia yako?
-Uwaloge hao akina mama 2 au uwaue kabisa??
** Ukishaingia huwezi kutoka, uko tayari kuingia kwenye huo ulimwengu??
Hell2Heaven haliakisi unachotaka kujifunza; unataka kutoka au unataka kuingia??

Pole sana tho sijui kwa nini plan A imefeli kwa muda wote huo. Anyway ngoja wadau waliopitia hayo mapito wakavuka wakusaidie, kila la heri!!
Yaan Natafuta njia ya kuwaondoa katika hii dunia.. kama kwa maombi imesshindikana nataka mganga katili anaye weza kuwaondoa
 
Hello Guys!

Kama unatokea familia ya kiganga au wewe ni Mchawi unaye loga, tunajua haya mambo niya siri, sawa lakini nakuomba utupe tu dondoo mnavyo fanyaga mpaka mka mfunga mtu asiweze pata kazi, mkaweza kuharibu mtu akachanga nyikiwa, mkaweza kufanya mtu asipendwe wala marafiki wasiwe naye karibu, au kumfunga asishike hela maisha yawe mabaya , Mka weza kuwa, mkafanya hata akisali Maombi yasiwe msaada.

Kwa kuwa wengi hatujuani hapa kwa majina, na account zetu hizi ni fake kwa majina, au pia unaweza fungua account nyingine ikiwa wewe ni mchawi na unahisi account hii ya sasa isha zoeleka na hutaki kuitumia kutupa dondoo za siri ya uchawi..

Naya andika haya maana, Familia yangu imetendewa unyama na wachawi kwa miaka 30, na tumezunguka kwenye maombi Mengi ila wapi ndugu bado wanateseka nikiwamo Mimi, alafu baada ya miaka yote ya maombi bado hali ya familia inazidi kuwa Mbaya,

Nimeamua sasa nataka kujifunza uchawi unavyo fanya kazi mpaka Hata Mungu ana kwepa kuwatoa watu kwenye mateso walio tengenezewa na viumbe wake bila hatia kwa miaka yote hii 30,

Wengi mtajiuliza tumejuaje kama ni uchawi.. Nikwamba kila tunapoenda kwenye maombi baadhi ya Ndugu huanguka na kupandisha miroho inayo jieleza kuwa ilitumwa na wanawake wawili kufunga na kuharibu mstaka bali wa hii familia na huwa inajieleza kuwa kila kitu tunacho pitia ni yenyewe imefunga,. ajira, kuoa, kushika hela, maelewano kuwa mabovu , kuuwa watu katika ukoo, pia mzee alifariki ila hiyo miroho huwa inasema wala mzee hakufa kifo cha kweli ila ameshikiliwa mahali na Hao wanawake wa wili, kisha huwataja kabisa majina hao wana wake, na tuna wajua wapo katika familia, lakin ajabu kila siku kwa miaka yote katika makanisa na maombezi mbali mbali ..tena kwa watumishi wakubwa Hapa dar, Arusha, Mikoni.. Kila tukitafuta msaada wa maombi.. ile miroho ipo tu .. miaka karibia 30. sasa familia inateseka vile vile miroho ipo Maombi tunafanya.. hali ile ile..

Sasa leo nimewaza sana nimeamua kutaka kujifunza huu uchawi una nguvu kiasi gani kwa Mungu nataka kujua Mbinu zake .. ili kama ita nilazimu kuingia uko ili kuikomboa familia basi nijue naingia rasmi..

Kwa Mungu hakuna majibu, watumishi karibia 17 nisha washirikisha tangu tuanze kupitia haya, Mm mwenyewe nimeefunga na kusali sana kwa miaka 7 yenye serious prayers ila wapi hali ile ile plus ndoto za mateso na mbaya kila wakati..

Naombeni pia Anaye Jua mganga mwenye uwezo wa kufungua uchawi mzito kwenye familia kama hii yangu Mnisaidie jina lake na maeneo aliyopo.. SINA JINSI TENA NAHITAJI KUFIKIA MWISHO WA HAYA MATESO.

ASANTENI.

Yesu anaponya na kuokoa watu, but I nategemea Ana Haki zake pia kama alikaribishwa, unaitaji Sana mtu anayejielewa.
 
AISEEE HIVI NI KWANINI MATAJIRI HAWAPANDISHI MASHETANI MAKANISANI AU MAJUMBANI KWETU???? 😂😂😂
 
okoa familia yenu jitoe muhanga waue hadharani hao wanawake wawili halafu jiue kwa sababu imeandikwa hakuna upendo ulio mkuu kama mtu kufa kwaajili ya rafiki zake
 
Hapo kuna siri kubwa imejificha kuna maagano yamewekwa na moja Kati ya damu zenu ushirikina wa mtu baki hawezi kuangaika na nyie miaka yote hiyo kinachotesa ni maagano chunguza pande zote mbili baba na mama
 
Pole Sana..
Walimwengu bwana
 
Hapo kuna siri kubwa imejificha kuna maagano yamewekwa na moja Kati ya damu zenu ushirikina wa mtu baki hawezi kuangaika na nyie miaka yote hiyo kinachotesa ni maagano chunguza pande zote mbili baba na mama
Upo sahihi.. anayetufanyia hivi ni mke wa baba mkubwa akishirikiana na na mwanae wa kike.. kisa mali.. wamesha haribu ndugu zangu wote.. kwa sasa wana niandama mimi kwa kuniharbia kazi, marafiki kila.kitu kina haribuka ukienda kwenye maombi unaambiwa ni wanawake wawili bibi na mwanae..

Ukiangalia ndugu wanao anguka na kupandisha miroho ina wataja kabisa kwa majina.. alafu huyo bibi mkubwa ana miaka 80 na mwanae wakike ana miaka 56, Yaan ni wachawi wakurithishana wala siyo tu washirikina wa kwa waganga bali wachawi wanao ruka hasa.. na hivi ninavyo kwambia wamesha wauwa watu wote walio kuwa wanafuatilia haki zetu..

Mpaka watoto wake wakiume wakubwa walio.kuwa wananonyesha kutu teta ame wauwa .. jiulize kama kawatoa hadi wanae na hadi baba wame mua kwa ajili ya mali.. niambie sisi wa mke mdogo tuko hatarini kiasi gani.. na hawa tuachi kila wakati wana rudi kuzidisha madawa hata tukisali vipi mbo yakianza kusimama wanapata taarifa wanaanza ushirikina upya..
 
Hicho ndo chanzo kikuuu mzee wako aliyakanyaga kuoa mshirikina Yani ogopa maisha yako kuoa au kuolewa na mshirikina au anayetoka kwenye familia ya kichawi maagano ya hutesa Hadi wajukuu maana wao hufuata damu zao
Upo sahihi.. anayetufanyia hivi ni mke wa baba mkubwa akishirikiana na na mwanae wa kike.. kisa mali.. wamesha haribu ndugu zangu wote.. kwa sasa wana niandama mimi kwa kuniharbia kazi, marafiki kila.kitu kina haribuka ukienda kwenye maombi unaambiwa ni wanawake wawili bibi na mwanae.. ukiangalia ndugu wanao anguka na kupandisha miroho ina wataja kabisa kwa majina.. alafu huyo bibi mkubwa ana miaka 80 na mwanae wakike ana miaka 56, Yaan ni wachawi wakurithishana wala siyo tu washirikina wa kwa waganga bali wachawi wanao ruka hasa.. na hivi ninavyo kwambia wamesha wauwa watu wote walio kuwa wanafuatilia haki zetu.. mpaka watoto wake wakiume wakubwa walio.kuwa wananonyesha kutu teta ame wauwa .. jiulize kama kawatoa hadi wanae na hadi baba wame mua kwa ajili ya mali.. niambie sisi wa mke mdogo tuko hatarini kiasi gani.. na hawa tuachi kila wakati wana rudi kuzidisha madawa hata tukisali vipi mbo yakianza kusimama wanapata taarifa wanaanza ushirikina upya..
 
Sijui kwanini Mungu aliruhusu wachawi wawepo, sisi home watoto wa kiume tunapita nyakati ngumu sana.

Kuna muda mara kadhaa nishajiuliza kama "Mungu yupo kweli" na anaruhusu haya. Watu wa dini mtasema nimetenda dhambi,ila no inabidi kuhoji kwakweli.

Halafu wanaoenda kwa waganga ni kama wanafanikiwa, ukimlilia Mungu unakuta huoni chochote.
 
Back
Top Bottom