Nimeamua kujifunza uchawi kwa kuwa wachawi wamekuwa wakiitesa familia yetu kwa muda mrefu

Nimeamua kujifunza uchawi kwa kuwa wachawi wamekuwa wakiitesa familia yetu kwa muda mrefu

Sijui kwanini Mungu aliruhusu wachawi wawepo, sisi home watoto wa kiume tunapita nyakati ngumu sana.

Kuna muda mara kadhaa nishajiuliza kama "Mungu yupo kweli" na anaruhusu haya. Watu wa dini mtasema nimetenda dhambi,ila no inabidi kuhoji kwakweli.

Halafu wanaoenda kwa waganga ni kama wanafanikiwa, ukimlilia Mungu unakuta huoni chochote.
Pole mkuu ila usifike huko ila fata haya.

1. Kama unaishi kwenye nyumba ya mzee au mnaishi nyumba ya mzee hameni na pangisheni.

2. Kama mna mali za mzee mnadeal nazo moja kwa moja km mashamba mnalima halikadhalika acheni kodisheni.

3. Kama unaishi karibu na hao ndugu jaribu kuwa mbali nao namaanisha mama mkubwa na mwanae.

Kwann nimekwambia hayo sababu ni hizi.
1. Ni rahisi kuja mnapoishi nakuacha athari.
Hakuna athari kubwa km mchawi kujua unapoishi aidha atatuma mtu, au yy kuja nawanaweka vitu chooni, nje au kuviacha anapokuja

2. Kama mna mali mnadeal nazo mojakwamoja achaneni nazo kwa sababu zinamaagano zitumieni indirect km kupangisha mjipatie riziki.

3. Than kaeni mbali nao japo mchawi anapiga popote na kwa umbali wowote lkn ukiwa mbali nae athari zake huwa afifu sana.

La mwisho:
Usikate tamaa wala kumkufuru Mola wako nahangaikeni popote ili mpate nafuu usijikite kwenye kuingia kwenye uchawi kwani huko ndo utaangamiza zaidi ndugu zako kwa mikono yako.
 
Hichi usemacho ndio nimekuwa nikijiuliza sana..
 
Asante
 
Haiwezekani kutoa pepo kama bado familia yenu inaishi maisha ya kipepo. Yaani kubalini kuokoka na ku "surrender" maisha yenu kwa Yesu Kristu. Ila hii yakukimbilia kuombewa wakati mnaendeleza tamaduni zenu hamtatoboa kwa chochote kabisa
 
Upo sahihi.. anayetufanyia hivi ni mke wa baba mkubwa akishirikiana na na mwanae wa kike.. kisa mali.. wamesha haribu ndugu zangu wote.. kwa sasa wana niandama mimi kwa kuniharbia kazi, marafiki kila.kitu kina haribuka ukienda kwenye maombi unaambiwa ni wanawake wawili bibi na mwanae.. ukiangalia ndugu wanao anguka na kupandisha miroho ina wataja kabisa kwa majina.. alafu huyo bibi mkubwa ana miaka 80 na mwanae wakike ana miaka 56, Yaan ni wachawi wakurithishana wala siyo tu washirikina wa kwa waganga bali wachawi wanao ruka hasa.. na hivi ninavyo kwambia wamesha wauwa watu wote walio kuwa wanafuatilia haki zetu.. mpaka watoto wake wakiume wakubwa walio.kuwa wananonyesha kutu teta ame wauwa .. jiulize kama kawatoa hadi wanae na hadi baba wame mua kwa ajili ya mali.. niambie sisi wa mke mdogo tuko hatarini kiasi gani.. na hawa tuachi kila wakati wana rudi kuzidisha madawa hata tukisali vipi mbo yakianza kusimama wanapata taarifa wanaanza ushirikina upya..
Hawajakutana na YESU wa kweli hao! Kama upo dsm nitafute nikupe namba ya mtumishi wa kweli wa Mungu na Mungu atawaponya! Achana na hao watumishi wa mafuta, keki, mchanga e.t.c...

Ukiwa tayari nijuze nikupe mawasiliano kuna watu wameokolewa kwenye wingu na vifungo vya kichawi vizito.Hapo unahitaji mtumishi wa kweli wa Mungu Prayer worrior..
 
Haiwezekani kutoa pepo kama bado familia yenu inaishi maisha ya kipepo. Yaani kubalini kuokoka na ku "surrender" maisha yenu kwa Yesu Kristu. Ila hii yakukimbilia kuombewa wakati mnaendeleza tamaduni zenu hamtatoboa kwa chochote kabisa
Upo sahihi 100%. wakishaokolewa na YESU(Kuokoka) na wakipata mtumishi wa kweli wa Mungu...hakika Mungu hatawaacha!

Akumbuke akienda kwa waganga au awe mchawi ni Utawala mmoja ambao "HAUFITINIANI" zaidi anaenda kuweka maroho ya maangamizi na mashindano..

Nimemwambia akiwa tayari ani PM nimpe namba za mtumishi wa Mungu PRAYER WORRIOR! MUNGU ATAMSAIDIA
 
Pole mkuu ila usifike huko ila fata haya.

1. Kama unaishi kwenye nyumba ya mzee au mnaishi nyumba ya mzee hameni na pangisheni.

2. Kama mna mali za mzee mnadeal nazo moja kwa moja km mashamba mnalima halikadhalika acheni kodisheni.

3. Kama unaishi karibu na hao ndugu jaribu kuwa mbali nao namaanisha mama mkubwa na mwanae.

Kwann nimekwambia hayo sababu ni hizi.
1. Ni rahisi kuja mnapoishi nakuacha athari.
Hakuna athari kubwa km mchawi kujua unapoishi aidha atatuma mtu, au yy kuja nawanaweka vitu chooni, nje au kuviacha anapokuja

2. Kama mna mali mnadeal nazo mojakwamoja achaneni nazo kwa sababu zinamaagano zitumieni indirect km kupangisha mjipatie riziki.

3. Than kaeni mbali nao japo mchawi anapiga popote na kwa umbali wowote lkn ukiwa mbali nae athari zake huwa afifu sana.

La mwisho:
Usikate tamaa wala kumkufuru Mola wako nahangaikeni popote ili mpate nafuu usijikite kwenye kuingia kwenye uchawi kwani huko ndo utaangamiza zaidi ndugu zako kwa mikono yako.
ushauri sahihi kabisa
 
Tafuteni pesa nyie wana ukoo
 
Upo sahihi.. anayetufanyia hivi ni mke wa baba mkubwa akishirikiana na na mwanae wa kike.. kisa mali.. wamesha haribu ndugu zangu wote.. kwa sasa wana niandama mimi kwa kuniharbia kazi, marafiki kila.kitu kina haribuka ukienda kwenye maombi unaambiwa ni wanawake wawili bibi na mwanae..

Ukiangalia ndugu wanao anguka na kupandisha miroho ina wataja kabisa kwa majina.. alafu huyo bibi mkubwa ana miaka 80 na mwanae wakike ana miaka 56, Yaan ni wachawi wakurithishana wala siyo tu washirikina wa kwa waganga bali wachawi wanao ruka hasa.. na hivi ninavyo kwambia wamesha wauwa watu wote walio kuwa wanafuatilia haki zetu..

Mpaka watoto wake wakiume wakubwa walio.kuwa wananonyesha kutu teta ame wauwa .. jiulize kama kawatoa hadi wanae na hadi baba wame mua kwa ajili ya mali.. niambie sisi wa mke mdogo tuko hatarini kiasi gani.. na hawa tuachi kila wakati wana rudi kuzidisha madawa hata tukisali vipi mbo yakianza kusimama wanapata taarifa wanaanza ushirikina upya..
USHAURI WA MIMI ACHANA NA MPANGO HUO MAANA HUKO NI KWENDA KUONGEZA MATATIZO KWANI KWA SEHEMU KIDOGO NAMFAHAMU SHETANI NA MIPANGO YAKE. NENDA RIALITY OF CHRIST UTAKUTANA NA WATUMISHI WA MUNGU WATAPELEKA KWENYE MSAADA ULIO SAHIHI.
 
Duuuh...mambo ni magumu kweli kweli.

Nayajua mambo ya Imani kwa kuyasoma ila siyo kuyaishi.

Kutokana na kuyatafiti mambo ya imani naweza kupa majibu haya [emoji116]

[emoji117]Ni kweli kabisa uchawi upo.

[emoji117]Kama ukisali na kuomba katika kweli nakuapia hakuna mchawi atakugusa, niamini katika hili, huenda kuna mahali huwa unakwama hapa kuhusu U-serious wa kumwabudu Mungu, huenda unaendaga kwa wale watumishi wa Mungu wa mafuta na maji ya upako ukajua huku ndiko kwa Mungu kumbe wale ni mostly wamepewa power na freemason na miujiza yao ya kiini macho.

Mwisho : Huenda wazazi wako au mzaliwa wenu wa kwanza au mababu zenu walitenda dhambi na hawakuitubia na hiyo dhambi inandelea kuwatesa vizazi vyenu vyote japo waliotenda hiyo dhambi walishakufa.

Hii huwa ni mbaya sana na kama hujagundua tatzo li wapi basi mtateseka hivo hivo vizazi na vizazi.

Na ili kujinasua kwenye hii inahitajika mtumishi wa Mungu anaemjua mungu ki kweli kweli na aombe sana mpaka aoneshwe tatizo ni nini alafu baada ya kuoneshwa tatizo ataoneshwa pia namna ya kuzitubia hizo dhambi kwa TOBA ya kweli baada ya hapo mtakuwa salama.

Ni sawa na umeenda kwa mganga akakupa masharti na ukaanza kuishi kwa masharti yake alafu huyo mganga aje kufa, aisee utataabika vibaya sana, maagano ulowekeana nae mpaka yatimie mnaweza kufa familia yako yote
 
Back
Top Bottom