Nimeamua kujinyonga, kwaherini wana JF

Mkuu kama bado hujakata roho tuelekeze upo eneo lipi ili upatiwe msaada wa kiimaini na kisaikologia tafadhali.
 
Hili tatizo sijui ni mwana saikolojia au daktari gani ataliweza ,mtu ameanza kulatiwa toka akiwa mtoto mpaka kufikia miaka 35 ??? Mungu pekee ndie anaweza kuingilia kati
 
Hivi mtu mwenye utimamu unaanzaje kuwaza kufa?hata kama maisha yaweje,hata upitie katika magumu yapi naamini lazima ipo siku mambo yatakua mazuri.
Kila la kheri kwenu umauti wako.
 
Poor him...post zake nyingi nilikuwa sizielewi elewi kumbe yuko hivi! Dah sijui kashavuta kweli!
 
Nimejaribu kutafakari baba mzazi anawezaje kumlawiti mwanae?
Sidhani kama mama mzazi anaweza kuingiliwa kimwili na mwanae!
 
Update........

Nipo msibani hapa....maiti ndiyo imepelekwa mochwari kwa ajili ya kuhifadhiwa.......ni kweli marehemu amejinyonga kwa sumu ya panya....

Tayari wakina mama wanatekeleza majukumu yao huko jikoni.....wameanza supu kwa waombolezaji kabla ya biriani......

Kwa uchungu nilionao wa kuondokewa na dada yetu kipenzi....ooooohh sorry Mwana JF mwenzetu nitakuwa hapa msibani mpaka watakapoanua matanga.....nitajikita zaidi upande wa jikoni.......

Nitaendelea kuwapa upadate kwa kadri nitakavyoona.....
 
Ahahahahahahahahahaha!!!
 
KWANI UNAMPANGO WA KUENDELEA NA HIYO TABIA...KAMA NDIYO BASI HAPAN SHAKA HAPA WAITANGAZA YAKO BIASHARA..WATAKA BEMBELEZWA EEE
 
Nikiuona huko ahera nami narudi. Ahera hawaendi watu ka weye, wenye mioyo migumu ka jiwe. Mchezo umesema uliupenda sasa unatishia kujiua, si useme umekosa mkunaji wako kwa sababu ya uchafu wako? Nenda fika salama, msalimie kungwiiiii
 
Hili tatizo sijui ni mwana saikolojia au daktari gani ataliweza ,mtu ameanza kulatiwa toka akiwa mtoto mpaka kufikia miaka 35 ??? Mungu pekee ndie anaweza kuingilia kati
Hahahahaaaaa sikuonaga hii,dah nimecheka sana!
 
Hahahahaaaaa sikuonaga hii,dah nimecheka sana!
Haha Nifah kuna mambo mengine inabidi tu umwachie Mungu maana kibinadamu haliwezekani ,ila nimepata faraja jamaa kachagua kuishi badala ya kujiua
 
Tangulia kwa amani.
Bora umejinyonga kwa sumu ya panya, umevumbua 'a 10001 way to die.'
 
Hili tatizo sijui ni mwana saikolojia au daktari gani ataliweza ,mtu ameanza kulatiwa toka akiwa mtoto mpaka kufikia miaka 35 ??? Mungu pekee ndie anaweza kuingilia kati
Lol[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili jibu nalo lilikuwa kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…