Nimeamua kujinyonga, kwaherini wana JF

"kwanza kufirwa mtu yeyote ni kutiwa mkosi, pili hata ukifa msalimie Lucifa Kuzimu"
 
Atakua amekufa labda huyu jamaa, hivi aliemuambia kufa ni jibu ninani aisee kama alikua shoga hapa anaeza na huko kifoni akaendelewa kuliwa
 
Naomba nitoe ufafanuzi; Huu uzi niliuweka mwaka jana Nov 16, nikiwa frustrated sana, nashukuru Mungu, kuna wana JF walinifuata inbox baada ya uzi huu, na mmoja wao alinisaidia sana, na hadi hivi sasa naendelea na sessions za kuonana na pyschologist kama nilivyoelezea kwenye thread yangu ya shukrani kwenye huu uzi https://www.jamiiforums.com/threads...ti-kwa-wanajf-kuniokoa-na-kifo.1006552/unread
Moderators awali waliufuta huu uzi, lakini waliurudisha baada ya mimi kuweka uzi wa shukrani kwa ajili ya reference, na hivyo kuonekana kama vile ni uzi mpya kumbe ni wa siku nyingi.
Ahsanteni wote pia kwa kejeli zenu, zinanipa mafunzo na nfuvu zaidi ya kusonga mbele
Tee Bag
 
Achana nao mkuu
 
Ahsante sana mkuu, Mwenyezi Mungu akubariki sana!!
"Wabarikini watakaowatukana",jibu lako limenifanya niikumbuke hiyo mistari hapo ya kwenye Bible na nimejifunza kitu hapa,safi sana kaka..na pole kwa matatizo uliyopitia.
 

Ndugu Marehemu, ulifka salama ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…