Mm pia nlikua chadema, skuwahi kua mwanachama ila nlipiga kura chadema kwa sababu nna undugu wa karibu sana na kiongozi mmoja mkubwa sana wa chadema ila sio mbowe, but ni kiongozi mkubwa! baada ya ilo event ya lowassa nadhan skuwahi kuangalia nyuma tena
- Mlikua mnakubalika sana ila kwa kua mmendekeza ubishi kuliko ushauri wa wananchi haya ndo mlioyavuna
View attachment 1842684
- this is all your left with, na hapo sio wote ni chadema maana wapo wengi walikuja kumshangaa lissu. 5 years from now mtajua mpo wap wakati chama kingine kinachukua nafasi yenu, namwona Zito anacheza karata zake vizuri sana