stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Sisi tunachotaka ni katiba mpya
mnataka katiba mpya ama kunyoa watu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tunachotaka ni katiba mpya
Na mimi natoka rasmi CCM kutokana na KUOGOPA KATIBA MPYA najiunga na Chadema kuziba Pengo lakoWakuu,
Siasa ni ustahimilivu na kuvumiliana lakini kutumia maneno makali inategemeana na aina ya mtu.
Niwatolee mfano tu mtu kama mwendazake Mdude angemjibu hivi ingekuwa sawa kabisa maana bwana yule naye alikuwa na maneno ya kashfa na kejeli na lugha chafu haswa.
Lakini kwa mama sidhani kama ilikuwa ni uungwana kumjibu namna hiyo kwasababu uhalisia wa SSH ni mstaarabu sana na ana busara na hekima pia ndani ya siku 100 tu katupa vitu vingi sana tulivyokosa wakati wa bwana yule.
Uhuru wa vyombo vya habari, demokrasia na masuala ya kiuchumi kajitahidi si haba.
Ila kauli ya ndugu yangu mdude imenifanya nitafakari sana, na kauli ya mbowe pia na hata Lissu, waswahili wanasema "ukimkimbiza mjusi sana mwishowe hugeuka nyoka na kukuuma"
Mimi sitaki huyu mama abadilike maana miaka 6 ya mwendazake tumeteseka sana, wakati mwingine utakayomfanyia mtu inaweza kumbadilisha akawa mtu wa tofauti sitaki huyu mama yetu abadilike awe dikteta naombeni sana tudai haki ila kuangalia ndimi zetu.
Mwisho kabisa nimeamua kujitoa Chadema kuanzia leo sio mwanachama wa CDM tena wala sio kwamba eti nitaenda CCM hilo kamwe halitotokea nitasimama kuendelea kutetea Haki,uhuru na demokrasia na maendeleo bila kuwa Chadema.
Maneno ya mdude yamenifanya niichukie chadema kuanzia leo sitaki hata kuisikia masikioni mwangu.
Sikutarajia kama Chadema ingebariki kuwa na watu wa ajabu hivi na hili la mdude limewafanya watu wengi kuichukia Chadema na hili linaweza kupelekea kupoteza asilimia 80 ya wanachama wa Chadema.
Najuta kwanini nilitoa mchango wangu tu maana huyu angebaki tu jela hana adabu kabisa.
Mnafiki mkubwa, toka lini ukawa mwana CHADEMA.Pombe za bure zinakusumbua....Wakuu,
Siasa ni ustahimilivu na kuvumiliana lakini kutumia maneno makali inategemeana na aina ya mtu.
Niwatolee mfano tu mtu kama mwendazake Mdude angemjibu hivi ingekuwa sawa kabisa maana bwana yule naye alikuwa na maneno ya kashfa na kejeli na lugha chafu haswa.
Lakini kwa mama sidhani kama ilikuwa ni uungwana kumjibu namna hiyo kwasababu uhalisia wa SSH ni mstaarabu sana na ana busara na hekima pia ndani ya siku 100 tu katupa vitu vingi sana tulivyokosa wakati wa bwana yule.
Uhuru wa vyombo vya habari, demokrasia na masuala ya kiuchumi kajitahidi si haba.
Ila kauli ya ndugu yangu Mdude imenifanya nitafakari sana, na kauli ya Mbowe pia na hata Lissu, waswahili wanasema "ukimkimbiza mjusi sana mwishowe hugeuka nyoka na kukuuma"
Mimi sitaki huyu mama abadilike maana miaka 6 ya mwendazake tumeteseka sana, wakati mwingine utakayomfanyia mtu inaweza kumbadilisha akawa mtu wa tofauti sitaki huyu mama yetu abadilike awe dikteta naombeni sana tudai haki ila kuangalia ndimi zetu.
Mwisho kabisa nimeamua kujitoa Chadema kuanzia leo sio mwanachama wa CDM tena wala sio kwamba eti nitaenda CCM hilo kamwe halitotokea nitasimama kuendelea kutetea Haki, uhuru na demokrasia na maendeleo bila kuwa Chadema.
Maneno ya Mdude yamenifanya niichukie chadema kuanzia leo sitaki hata kuisikia masikioni mwangu.
Sikutarajia kama Chadema ingebariki kuwa na watu wa ajabu hivi na hili la Mdude limewafanya watu wengi kuichukia Chadema na hili linaweza kupelekea kupoteza asilimia 80 ya wanachama wa Chadema.
Najuta kwanini nilitoa mchango wangu tu maana huyu angebaki tu jela hana adabu kabisa.
NENDA MWENDA ZAKO, U NANI WEWE KATIKA CDM???WALITOKA AKINA SLAA SEMBUSE WEWE????Wakuu,