Nimeamua kujitoa CHADEMA rasmi kutokana na Mdude, najuta kumchangia

Unaonaje na yeye Mama akitumia lugha ngumu kwa wapinzani wake na akitumia nguvu kidogo ya madaraka yake kwa wapinzani atakuwa amefanya sawasawa?
 
Tuonyeshe mahali ulipokemea Magufuli akisema watu wabaki na mavi yao nyumbani.
Mkuu hapa anazungumziwa Mama Samia na sio Magufuli ingekuwa mdude kauli hii ameitoa dhidi ya Mwendazake hakuna angeihoji ila ameitoa dhidi ya Rais Samia ndipo swali linapokuja kauli ya Mdude kwa Mama Samia yupo sahihi?
 
Mkuu hapa anazungumziwa Mama Samia na sio Magufuli ingekuwa mdude kauli hii ameitoa dhidi ya Mwendazake hakuna angeihoji ila ameitoa dhidi ya Rais Samia ndipo swali linapokuja kauli ya Mdude kwa Mama Samia yupo sahihi?
Niliyemquote kanielewa.
 
Kwa hiyo Samia asiguswe? Kwa sababu yeye ni malaika? Kuna viongozi walitukanwa sana na wengine bado wanatukanwa tena matusi zaidi ya hicho alichoambiwa SASHA,lakini hamkusema na hamsemi chochote,lakini leo kaguswa mpendwa wenu mmejawa na huruma,maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge acha ayaonge na yeye kama yana upupu atajikuna.
 
Kwahiyo huyo mdude wenu ni shujaa?
 
Unaonaje na yeye Mama akitumia lugha ngumu kwa wapinzani wake na akitumia nguvu kidogo ya madaraka yake kwa wapinzani atakuwa amefanya sawasawa?
Fatilia siasa za nchi zilizoendelea walotuletea hata hii demokrasia labda utaelewa...
 
Huyu kijana kakosea sana yapaswa aombe msamaha kwa kutenda kosa lake.

Huyu Rais mama SSH hana maneno machafu kabisa kumtamkia maneno machafu ni kutomtendea haki.
Maneno machafu aliyoyasema hiyo jamaa ni yapi?
 
Kwahiyo huyo mdude wenu ni shujaa?
Ndio n shujaa. Ccm hawawezi kuweka katiba mpya kwa kuwapaka mafuta. Kea sababu wanajua Ndio mwisho wao. Lazima uende nao kibabe kama anavyofanya mdude.

Halafu chadema hatuna watu kama wewe. Wewe utakuwa CUF masalia
 

Kama saut zenyewe za chama ndo hizo za kina mdude basi mmekula hasara
 

Mm pia nlikua chadema, skuwahi kua mwanachama ila nlipiga kura chadema kwa sababu nna undugu wa karibu sana na kiongozi mmoja mkubwa sana wa chadema ila sio mbowe, but ni kiongozi mkubwa! baada ya ilo event ya lowassa nadhan skuwahi kuangalia nyuma tena

- Mlikua mnakubalika sana ila kwa kua mmendekeza ubishi kuliko ushauri wa wananchi haya ndo mlioyavuna


- this is all your left with, na hapo sio wote ni chadema maana wapo wengi walikuja kumshangaa lissu. 5 years from now mtajua mpo wap wakati chama kingine kinachukua nafasi yenu, namwona Zito anacheza karata zake vizuri sana
 
😹😹😹
 
Tuache utani tulipigania Sana chadema kwaajili ya ukatili wa magu ila kwa hili hapana mdude kakosea Sana ,tudai haki yetu kwa bussra SI kwa matusi Yale.mama ni mwelewa anapenda haki.
 
Ivi huyu mdude ana elimu gani ? Embu anae fahamu aeleze hapa ...huyu mdude kasoma chuo gani ? Kama ana elimu ya chuo ....na je kama ni standard seen kaisomea xul gan iyo standard seven yake
 
Chadema hakuna wanachama mazwazwa kama wewe peleka urojo wako Lumumba pambafi mfuasi wa kibwetere wewe
 
Sisi tunachotaka ni katiba mpya
 
Mkuu tangu lini uamsho mkawa wafuasi wa chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…