Sambali Boy
Member
- Jul 15, 2014
- 31
- 5
hongera ila hujasema unataka kwenda kuangalia fursa gani? kilimo? ufugaji au biashara tu ili tukupe majina ya wadau walio huko. Kama kilimo kuna jf group wanafanya project waweza mtafuta Malila, mengine kwakweli utapata ukifika
Kweli wewe umejitoa muhanga bro dah
hongera ila hujasema unataka kwenda kuangalia fursa gani? kilimo? ufugaji au biashara tu ili tukupe majina ya wadau walio huko. Kama kilimo kuna jf group wanafanya project waweza mtafuta Malila, mengine kwakweli utapata ukifika
Kuna uzi uliuleta hapa jana unasema we ni mwanamzki na unataka kusaidiwa utoe nyimbo yko..imekuaje tena?Shortly nikwamba huku nilikua mjasiliamali wa matofali ya kuchoma but now imekua ngumu kwa7bu gharama za uendeshaj zmekuwa kubwa wakat tofali likiwa halipand bei, hicho ndicho ninauzoefu nacho mkubwa.
Kingne labda ni mambo ya ufund wa furnitures lakñ hyo cjaiva xaana kivile, Swala la kilimo lenyewe pia sio mzoefu sana lakn naweza.
Kuna uzi uliuleta hapa jana unasema we ni mwanamzki na unataka kusaidiwa utoe nyimbo yko..imekuaje tena?