Sambali Boy
Member
- Jul 15, 2014
- 31
- 5
Baada ya kuona maisha yamekua magum nyumban na uwezekano wakwenda shule mwaka huu kuwa mgum nimeamua kujtoa muhanga kwenda mkoa wa iringa ili kuangalia fursa mbalmbal ambazo zaweza kúnisaidia labda mwakan nikaenda shule nahuko cna ndugu yeyote. Nilikua naomba kwa mwenyej wa iringa anisaidie kunifahamisha kuhsu mazngra kiujumla pamoja na fursa znazopatkana huko ili zinsaidie ktk maandaliz yang. Nisaidien ndug yenu, mawazo yenu ndio msaada wangu.