kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
kwanini na nyie msirogeMbao hao wachawi kinyama waulize wanafunzi wa chuo cha Butimba wanapopigiaga mazoezi wanavyorogaga.
Hahahaha hii sababu yako mkuu inafurahisha sana kwa kweliMbao zimekaza wakuu,hivyo isiwe taabu Leo najiuzulu rasmi ushabiki wa Yanga.Lengo ni kuunga mkono juhudi za mbao ambazo nasi ndizo tulizozitaka
Sidhani mkuu ni uwezo tu,vinginevyo wangekuwa wanaongoza ligi!Kama ni uchawi pia,basi tungewaona magwiji kama mtoto wa sheikh Yahya na wengineo wakicheza mazingaombwe yao uwanjani.Lakini nilichoona leo ni mpira halisi wa miguu.Mbao hao wachawi kinyama waulize wanafunzi wa chuo cha Butimba wanapopigiaga mazoezi wanavyorogaga.
Huu ni Ulikuwa mzuka tu wa mwaka 2017,na huenda kuna watu huko Yanga wanaweza wasinielewe,nataka nijiachie kwa uhuruKwani huwezi kuwaunga mkono mbao ukiwa yanga?
Mbona unataka kuwashusha chati wazee wa yanga ha ha ha ha ha.Mbao hao wachawi kinyama waulize wanafunzi wa chuo cha Butimba wanapopigiaga mazoezi wanavyorogaga.
Nenda zako huna lolote weweMbao zimekaza wakuu,hivyo isiwe taabu Leo najiuzulu rasmi ushabiki wa Yanga.Lengo ni kuunga mkono juhudi za mbao ambazo nasi ndizo tulizozitaka