Nimeamua kujiuzulu ushabiki wa Yanga ili kuiunga mkono Mbao Fc kwa sababu inafanya kile tulichotaka kufanya

Nimeamua kujiuzulu ushabiki wa Yanga ili kuiunga mkono Mbao Fc kwa sababu inafanya kile tulichotaka kufanya

Mbao hao wachawi kinyama waulize wanafunzi wa chuo cha Butimba wanapopigiaga mazoezi wanavyorogaga.
 
Saafi sana sisi tunataka kuona magoli mbao wanaonyesha
 
Safi sana mkuu naona umefanya maamuzi sahihi. Ukiwa huko Mbao FC yale uliyoyataka ulipokuwa Yanga utayapata kwa uharaka na mafanikio zaidi. Kila la heri
 
Mbao hao wachawi kinyama waulize wanafunzi wa chuo cha Butimba wanapopigiaga mazoezi wanavyorogaga.
Sidhani mkuu ni uwezo tu,vinginevyo wangekuwa wanaongoza ligi!Kama ni uchawi pia,basi tungewaona magwiji kama mtoto wa sheikh Yahya na wengineo wakicheza mazingaombwe yao uwanjani.Lakini nilichoona leo ni mpira halisi wa miguu.
 
Mbao wachawi wamemzika mbuzi mzima pale katikati ya uwanja juzi usiku kabla ya mechi
 
Nasikia mbao walimchezesha mninga ambaye ni mgumu sana kufungwa. Hahahahaha
 
Wewe ni wa mwanza ulikuwa unajipendekeza kushangilia Yanga,nenda zako kwenu mkoani tena kisiwani ukerewe tuachie timu yetu.
 
Back
Top Bottom