Nimeamua Kukisanua: Hii ndiyo sababu ya Jezi za Simba SC kutozinduliwa hadi leo

kama mzigo upo bandarini, why wasilipie wakauchukua?
sio jukumu la Simba, ni la Vunjabei. Tatizo la watu wa humu wengi mnanakosa uelewa wa mambo hata ya kawaida tu, hata mikataba ya timu hauielewi lakini mnatoa comments na kuanzisha nyuzi
 
Sasa utafanywaje popoma wakati kwa asili makolo wote mbumbumbu?? Yaani hupendi kufanywa mbumhumbu wakati wewe mwenyewe mbumbumbu wa kuzaliwa, pole sana

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kolo united
 
Ila wewe jamaa [emoji23][emoji23] kidali po nmekumbuka tangwa pepeta
 
Jezi mpya za Simba SC zimekwamishwa kwasababu ya nembo ya mdhamini, jezi zilizotengenezwa mwanzo zilikuwa na mdhamini aliyepita, hivyo alivyokuja M - bet imebidi yafanyike mabadiliko, huu ndio ukweli halisi.
Kwa hiyo zinapigwa pass muda huu?? Mamaeeeh hadi mmalize mikono itakuwa kama wagonjwa

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Jezi mpya za Simba SC zimekwamishwa kwasababu ya nembo ya mdhamini, jezi zilizotengenezwa mwanzo zilikuwa na mdhamini aliyepita, hivyo alivyokuja M - bet imebidi yafanyike mabadiliko, huu ndio ukweli halisi.
Huu ni uwongo wa Bei rahisi...Simba hawakujua mdhamini wao mpya!?
 
Jezi mpya za Simba SC zimekwamishwa kwasababu ya nembo ya mdhamini, jezi zilizotengenezwa mwanzo zilikuwa na mdhamini aliyepita, hivyo alivyokuja M - bet imebidi yafanyike mabadiliko, huu ndio ukweli halisi.
Mkataba wa sportpesa umeisha katambo sana kabla ligi haija isha Barbra alidhibitisha hilo na ilikua inafahamika kua hautoongezwa labda kama kuna issue nyingine ila sio mdhamini
 
tunasubir ila mkifeli kuzitoa mtakuwa mmewatesa makolo
 
Mzigo ukifika Bandarini Kuna
1. gharama za bandari (port charges)
2.Ushuru (Tax)

ushuru NI mamlaka ya TRA ndiyo inakusanya hiyo Kodi hapa mamlaka ya bandari haihusiki hata kidogo hapa sasa najiuliza boss wa Bandari anawezaje kurelease mzigo bila kulipiwa Kodi? Ambayo inakusanywa na TRA?

Ukishalipia Kodi, unalipia na gharama za bandari pamoja na za shipping line unatoa mzigo wako.

Ila mikia poleni Sana, kila kitu mnaendesha Kwa michongo.
 
Satoh Hirosh maliza kuandika utetezi wako haraka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mimi sijaja kuchangia chochote kinachohusu mada maana sitabadili chochote kuhusu swala la jezi

Huyu jamaa anashindwa kuelewa kwamba jf inafatiliwa na watu kibao.Hawezi kujenga Hoja bila matusi? Tena matusi mazito

Unapataje ujasiri wa kumwambia mtu "mamaako alipokutapika leba"????? "Nazijua Kona zote za * wa mamaako!!"

Amezidi asee.Huu ni zaidi ya udhalilishaji
 
Si mchukue hela katika zile 26b ili mlipe kodi au za mchongo?
Vunja bei ndio kit supplier wa simba zile bil 26.1 hazihusiani nae kabisa
Alishakula mkataba wake sisi tunachotaka ni jezi hayo ya kulipia ushuru ni juu yakena sio simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ