Nimeamua Kukopa Bank

Sikishauri
Sikushauri kuweka stock ya mahindi, bei yake haitabiriki bora mpunga au maharage.
Sehemu nitakayoweka stock kila mwaka ikifika Mwezi wa 12 gunia hufika 70
 
kama umekopa bank marejesho yanatoka kwenye salary tu fresh hata ukitumbukiza hizo 9m zote kwenye nyumba mm sina hofu kwa maana rejesho halitegemei mzunguko wa huo mkopo cha msingi usiwe na tamaa ya ujenzi ukiendekeza unaeza lala njaa maana hakuna muda nyumba ikamalizika ujenzi kila muda inakuhitaji hela tu hata kama finishing tayari isipokuwa kama lengo ni uweze kulala na mambo mengine madogo ishia hapo maliza rejesho fanya mengine m6 ni ndogo sana kwenye finishing hata kama vijijini jenga taratibu tu usiwe na haraka kama biashara ya mazao inalipa na una uhakika nayo nashauri uongeze hela hata m5 afu nyumba utaongezea mdogo mdogo
 

Swala.la.hela kutosha hayo ni mahesabu binafsi, ila inaoenaka.umejipanga, we kopa.... hauna material asilimia 98% una material asilimia 98 ya kufikisha nyumba kwenye lenta na hapo ndo nyumba inaanza kwenyw gharama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…