mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Hapana inategemea design na ukubwa wa hiyo nyumbaMkuu umeshaezeka? 6m ni gharama ya kuezeka tu iyo. Hebu fanya rouph estimation
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana inategemea design na ukubwa wa hiyo nyumbaMkuu umeshaezeka? 6m ni gharama ya kuezeka tu iyo. Hebu fanya rouph estimation
Kwani ukikopa hela benki kwa udhamini wa muajiri wako Kuna ulazima wa kuweka nyumba rehani?kampuni si ndio inakudhamini,au siku hizi wamebadilisha utaratibu?HahahHa, itakua siyo maximum , sisi wengine tumeshindwa kuchukua mkopo kabisa kwa rate hiyo ya salary,
Mtaani kwetu kuna nyumba 5 zimepigwa mnada huku naona ,
Nyumba yangu mdogo mdogo nitamalizia kwa salary hii hii 1+
Hata mimi nilitaka kushangaa maana kuna pagale langu lina miezi kama sita sijafanikiwa kupaua na fundi alinipigia gharama za kupaua ilifika m5.7Mkuu umeshaezeka? 6m ni gharama ya kuezeka tu iyo. Hebu fanya rouph estimation
Mimi nipo kampuni binafsi, kwa kampuni yetu hawaruhusu kuchukua mkopo bank mkuu, wao wanataka mkopo uchukue ndani ya kampuni na ndani ya miezi 6 hela yao iwe imerudi yote,Kwani ukikopa hela benki kwa udhamini wa muajiri wako Kuna ulazima wa kuweka nyumba rehani?kampuni si ndio inakudhamini,au siku hizi wamebadilisha utaratibu?
Duuh hayaMimi nipo kampuni binafsi, kwa kampuni yetu hawaruhusu kuchukua mkopo bank mkuu, wao wanataka mkopo uchukue ndani ya kampuni na ndani ya miezi 6 hela yao iwe imerudi yote,
Iyo yako ikojeHapana inategemea design na ukubwa wa hiyo nyumba
Muulize mtoa madaIyo yako ikoje
Atajibu akionaMuulize mtoa mada
Hebu nieleze iyo nyumba yako ina ukubwa gani. Matofali 60 unatumia mfuko 1. Kama cement hazizidi 20 maana yake 20x60=1200. Matofali 1200 iyo ni chumba, choo na jiko labda ndo vyaweza kutosha tena jiko, chumba na choo viwe vidogo sana. Apo hujafunga beam na mazaga zaga kibao. Inshort iyo hela ni ndogo sana kwenye ujenziKiwanja changu ni tambarare,hakihitaji leveling, material 98% nishamwaga nje ya hii hela.
Maana yake hii hela itakua kulipa fundi na kununua ndondo na cement ambapo cement haizidi mifuko 20.
Ninatumi burnt bricks mkuu,tofari 4000Hebu nieleze iyo nyumba yako ina ukubwa gani. Matofali 60 unatumia mfuko 1. Kama cement hazizidi 20 maana yake 20x60=1200. Matofali 1200 iyo ni chumba, choo na jiko labda ndo vyaweza kutosha tena jiko, chumba na choo viwe vidogo sana. Apo hujafunga beam na mazaga zaga kibao. Inshort iyo hela ni ndogo sana kwenye ujenzi
Uko sina utaalamu nako. Lakini nna uzowefu wa kutosha kwenye ujenzi. Na kila siku nafanya makisio. Mil 6 inakua ni kuezeka tuNinatumi burnt bricks mkuu,tofari 4000
Huyu jamaa katupa chai hii...tena ya mchana..Kama ni taasisi Binafsi hawana mdhamana kwa wafanyakazi wao bank?Kwetu sisi hawaruhusu , ukitaka kopa hapa hapa lakini mkopo unapaswa kurejesha within 6 months, Mimi bado finishing tuu napambana na salary yangu
Ni kweli mkuu, milioni 6 haiwezi kutosha kujenga nyumba. Ujenzi wa hali ya chini inabidi ijengwe kidogo kidogo hatua kwa hatuaUko sina utaalamu nako. Lakini nna uzowefu wa kutosha kwenye ujenzi. Na kila siku nafanya makisio. Mil 6 inakua ni kuezeka tu
Msomi achana na assumptions na ramli..Nafanya kazi sekta binafsi kwa miaka mitano sasa.
Nimejitahidi kadiri ya uwezo wangu kwani kwa miaka hiyo nimeweza kujikamua na kujenga nyumbani(finishing bado) kijijini kwetu si mnajua life tuliokulia maisha ya kuunga unga? (Maisha ya home yalikua mabaya kupindukia,hadi namaliza chuo,njaa ilikua inachakaza nyumbani hadi inatishia kutoa uhai)
Pia kwa miaka mitano hii nimeoa na kujiunga na Msc degree na chuo flani hivi kikongwe hapa nchini,nimenunua ka plot ka kuanzia maisha na kusomba materials
Sasa kwa muda huu nimejikuta mambo yanakua mengi halafu na kipato hakitoshi japo kwa mwezi na take home ni M na kitu hivi.
Nimeona isiwe shida,nimeenda bank kukopa ili nijenge na kununua mahindi ya stock ili badae niuze kuanzia mwezi wa 11 hadi 3 hivi najua bei itakua imepanda kidogo
Sasa hapa nina wasiwasi na hii hela km itamaliza ujenzi,site nilileta material almost 98% (yaani tofari,mawe,mchanga na kokoto).Hela niliyoomba ni 9M nakata 2M ziingie kununua nafaka niweke stock, 1M iingie matumizi ya kawaida (msishangae serikali yetu matumizi ya kawaida ni zaidi ya nusu ya bajeti) halafu 6M zipige ujenzi je zitatosha?
Hapa nasali na kuomba angalau hii hela itoshe
Asante,But vitu vyote vy kisomi kuanza na assumption then zinakuja facts za kuprove wrong or right assumptionMsomi achana na assumptions na ramli..
Fuatilia Bei za vitu uje na approximation iliyo sahihi ,Mungu amekupa akili ili usimsumbue kwa vitu vilivyo ndani ya uwezo wako....
Yes ila wewe Ni too much assumptions mzee...Asante,But vitu vyote vy kisomi kuanza na assumption then zinakuja facts za kuprove wrong or right assumption
Sikushauri kuweka stock ya mahindi, bei yake haitabiriki bora mpunga au maharage.Nafanya kazi sekta binafsi kwa miaka mitano sasa.