Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

Naomba kujuzwa kuhusu suala hili. chukulia mkulima kafuata taratibu zote za kilimo cha kisasa yaan kanuni zote za kilimo kafuata. mkulima anaweza kupata gunia ngapi kwa heka?
Nawasilisha kwenu wana Jamii
 
Hili swali ni too broad na haliwezi jibiwa kirahisi hasa kama hujawahi kulima mahindi. Lakini kama umefuata kanuni zote unaweza kupata gunia 40 kwa eka.

Kumbuka kutumia hivi vipimo vizuri eka na hecta. Baadhi ya mambo ya kuangalia ni

1. Kujua afya ya udongo na kuweka virutubisho kadiri ya mahitaji

2. Aina ya mbegu na spacing. (Miche mingapi umepanda kwa eka)

3. Unyevu kwenye ardhi kipindi cha kukua

4. Palizi na magonjwa (control)
Nimeshuhudia gunia 43 kwa eka. (Siyo kwa hecta)
 
Naomba kujuzwa kuhusu suala hili. chukulia mkulima kafuata taratibu zote za kilimo cha kisasa yaan kanuni zote za kilimo kafuata. mkulima anaweza kupata gunia ngapi kwa heka?
Nawasilisha kwenu wana Jamii
Naomba usahihishe kidogo ili ueleweke zaidi. Tuna HEKTA na EKARI. Unaposema HEKA, ulimaanisha nini kati ya hivyo viwili?
 
Anaweza kupata gunia kati ya 30 mpaka 40 mkuu
Naomba kujuzwa kuhusu suala hili. chukulia mkulima kafuata taratibu zote za kilimo cha kisasa yaan kanuni zote za kilimo kafuata. mkulima anaweza kupata gunia ngapi kwa heka?
Nawasilisha kwenu wana Jamii
 
Mimi mwaka Jana kwa ekari tatu nilipata gunia 39 ila kilimo kisikie tu, changamoto ni nyingi sana,hasa mtaji na ukulima bora,pembejeo ziko juu,kwa ujumla kila hatua ni ngumu sana unaweza jikuta faida yako ni gunia kumi ilhali umefanya kazi si chini ya miez mitano mpàka unauza,hiyo faida ni sawa na mfanyakazi wa kawaida wa umma aliyefanya kazi miezi miwili,
narudia changamoto ni nyingi kwa wanaojua nadhani wananielewa,ambao bado hawajaexperience naomba waende wakajaribu,
halafu nimekumbuka bado changamoto ya mvua
 
gesamore kufuata kanuni bora za kilimo utakazozisoma kwenye vitabu ni tofauti ukianza on the field kabisa I mean shambani,utajikuta unashangaa mwenyewe by the way nisikukatishe tamaa go and practice ndugu yote yanawezekana usimamizi wako tu na mvua zinyeshe kama vitabu vinavyoelekeza
 
Anaweza kupata gunia kati ya 30 mpaka 40 mkuu
Mkuu, kilimo chetu ni gunia kati ya 20 - 30. Bora mpatie makadirio ya kati, Mara chache saaana kupata gunia zaidi ya 30, ajue hilo asije akapiga mahesabu ya juu.
 
Hili swali ni too broad na haliwezi jibiwa kirahisi hasa kama hujawahi kulima mahindi. Lakini kama umefuata kanuni zote unaweza kupata gunia 40 kwa eka. Kumbuka kutumia hivi vipimo vizuri eka na hecta. Baadhi ya mambo ya kuangalia ni
1. Kujua afya ya udongo na kuweka virutubisho kadiri ya mahitaji
2. Aina ya mbegu na spacing. (Miche mingapi umepanda kwa eka)
3. Unyevu kwenye ardhi kipindi cha kukua
4. Palizi na magonjwa (control)
Nimeshuhudia gunia 43 kwa eka. (Siyo kwa hecta)
Asante sana mkuu ubarikiwe
 
gesamore kufuata kanuni bora za kilimo utakazozisoma kwenye vitabu ni tofauti ukianza on the field kabisa I mean shambani,utajikuta unashangaa mwenyewe by the way nisikukatishe tamaa go and practice ndugu yote yanawezekana usimamizi wako tu na mvua zinyeshe kama vitabu vinavyoelekeza
Sawa sawa mkuu nashukuru kunijuza hilo
 
Kitaalamu eka moja ya mahindi inatoa gunia 25-30,hii utakuwa umepanda eka yenye ukubwa wa 70/70 or 80/50 shamba lako liwe na mimea takribani 44,860.zingatia taratibu.
 
Hili swali ni too broad na haliwezi jibiwa kirahisi hasa kama hujawahi kulima mahindi. Lakini kama umefuata kanuni zote unaweza kupata gunia 40 kwa eka. Kumbuka kutumia hivi vipimo vizuri eka na hecta. Baadhi ya mambo ya kuangalia ni
1. Kujua afya ya udongo na kuweka virutubisho kadiri ya mahitaji
2. Aina ya mbegu na spacing. (Miche mingapi umepanda kwa eka)
3. Unyevu kwenye ardhi kipindi cha kukua
4. Palizi na magonjwa (control)
Nimeshuhudia gunia 43 kwa eka. (Siyo kwa hecta)
Je waweza nijulisha ni mbegu gani unatumia katika kilimo cha mahindi na sifa zake! Me ni mkulima mchanga nahitaji uzoefu wenu tafadhari
 
Hili swali ni too broad na haliwezi jibiwa kirahisi hasa kama hujawahi kulima mahindi. Lakini kama umefuata kanuni zote unaweza kupata gunia 40 kwa eka. Kumbuka kutumia hivi vipimo vizuri eka na hecta. Baadhi ya mambo ya kuangalia ni
1. Kujua afya ya udongo na kuweka virutubisho kadiri ya mahitaji
2. Aina ya mbegu na spacing. (Miche mingapi umepanda kwa eka)
3. Unyevu kwenye ardhi kipindi cha kukua
4. Palizi na magonjwa (control)
Nimeshuhudia gunia 43 kwa eka. (Siyo kwa hecta)
Mkuu huyo aliyepata gunia 43 alitumia maji ya kumwagilia au alitegemea mvua tu?
 
Jaman mimi nahitaji kulima matikiti.nina CBA na masterplan yake kutoka kwa wataalamu.but tatizo sina capital.mnaweza kunishaur jinsi gani nawezapata mtaji.no yang hii hapa 0715162344
 
Back
Top Bottom