Hili swali ni too broad na haliwezi jibiwa kirahisi hasa kama hujawahi kulima mahindi. Lakini kama umefuata kanuni zote unaweza kupata gunia 40 kwa eka.Naomba kujuzwa kuhusu suala hili. chukulia mkulima kafuata taratibu zote za kilimo cha kisasa yaan kanuni zote za kilimo kafuata. mkulima anaweza kupata gunia ngapi kwa heka?
Nawasilisha kwenu wana Jamii
Naomba usahihishe kidogo ili ueleweke zaidi. Tuna HEKTA na EKARI. Unaposema HEKA, ulimaanisha nini kati ya hivyo viwili?Naomba kujuzwa kuhusu suala hili. chukulia mkulima kafuata taratibu zote za kilimo cha kisasa yaan kanuni zote za kilimo kafuata. mkulima anaweza kupata gunia ngapi kwa heka?
Nawasilisha kwenu wana Jamii
Naomba kujuzwa kuhusu suala hili. chukulia mkulima kafuata taratibu zote za kilimo cha kisasa yaan kanuni zote za kilimo kafuata. mkulima anaweza kupata gunia ngapi kwa heka?
Nawasilisha kwenu wana Jamii
Mkuu, kilimo chetu ni gunia kati ya 20 - 30. Bora mpatie makadirio ya kati, Mara chache saaana kupata gunia zaidi ya 30, ajue hilo asije akapiga mahesabu ya juu.Anaweza kupata gunia kati ya 30 mpaka 40 mkuu
Asante sana mkuu ubarikiweHili swali ni too broad na haliwezi jibiwa kirahisi hasa kama hujawahi kulima mahindi. Lakini kama umefuata kanuni zote unaweza kupata gunia 40 kwa eka. Kumbuka kutumia hivi vipimo vizuri eka na hecta. Baadhi ya mambo ya kuangalia ni
1. Kujua afya ya udongo na kuweka virutubisho kadiri ya mahitaji
2. Aina ya mbegu na spacing. (Miche mingapi umepanda kwa eka)
3. Unyevu kwenye ardhi kipindi cha kukua
4. Palizi na magonjwa (control)
Nimeshuhudia gunia 43 kwa eka. (Siyo kwa hecta)
Nilimaanisha Ekari hapoNaomba usahihishe kidogo ili ueleweke zaidi. Tuna HEKTA na EKARI. Unaposema HEKA, ulimaanisha nini kati ya hivyo viwili?
Shukran sana wakuu kwa somoMkuu, kilimo chetu ni gunia kati ya 20 - 30. Bora mpatie makadirio ya kati, Mara chache saaana kupata gunia zaidi ya 30, ajue hilo asije akapiga mahesabu ya juu.
Sawa sawa mkuu nashukuru kunijuza hilogesamore kufuata kanuni bora za kilimo utakazozisoma kwenye vitabu ni tofauti ukianza on the field kabisa I mean shambani,utajikuta unashangaa mwenyewe by the way nisikukatishe tamaa go and practice ndugu yote yanawezekana usimamizi wako tu na mvua zinyeshe kama vitabu vinavyoelekeza
Je waweza nijulisha ni mbegu gani unatumia katika kilimo cha mahindi na sifa zake! Me ni mkulima mchanga nahitaji uzoefu wenu tafadhariHili swali ni too broad na haliwezi jibiwa kirahisi hasa kama hujawahi kulima mahindi. Lakini kama umefuata kanuni zote unaweza kupata gunia 40 kwa eka. Kumbuka kutumia hivi vipimo vizuri eka na hecta. Baadhi ya mambo ya kuangalia ni
1. Kujua afya ya udongo na kuweka virutubisho kadiri ya mahitaji
2. Aina ya mbegu na spacing. (Miche mingapi umepanda kwa eka)
3. Unyevu kwenye ardhi kipindi cha kukua
4. Palizi na magonjwa (control)
Nimeshuhudia gunia 43 kwa eka. (Siyo kwa hecta)
Ok.Nilimaanisha Ekari hapo
Mkuu huyo aliyepata gunia 43 alitumia maji ya kumwagilia au alitegemea mvua tu?Hili swali ni too broad na haliwezi jibiwa kirahisi hasa kama hujawahi kulima mahindi. Lakini kama umefuata kanuni zote unaweza kupata gunia 40 kwa eka. Kumbuka kutumia hivi vipimo vizuri eka na hecta. Baadhi ya mambo ya kuangalia ni
1. Kujua afya ya udongo na kuweka virutubisho kadiri ya mahitaji
2. Aina ya mbegu na spacing. (Miche mingapi umepanda kwa eka)
3. Unyevu kwenye ardhi kipindi cha kukua
4. Palizi na magonjwa (control)
Nimeshuhudia gunia 43 kwa eka. (Siyo kwa hecta)