Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

The key to prosper in business will entirely remain on control and supervision of the whole processes carried out--according to me! endelea na mapambano kaka, the golden rule is to monitor, monitor, monitor with the birds eye!!!
 
The key to prosper in business will entirely remain on control and supervision of the whole processes carried out--according to me! endelea na mapambano kaka, the golden rule is to monitor, monitor, monitor with the birds eye!!!
umesema kweli tupu
 
Hivi mva isiponyesha au wahuni wakilichoma itakuaje?
Natania tu mkuu.U R THINKING BIG.songa mbele.
 
Mkuu Kilimo kingekua kinalipa that way wakulima wote wangeshatajirika hata mimi na wewe na yule tungelima, nimewahi kupigiwa the same hesabu. Ukweli ni kuwa kilimo hakilipi hivyo.

Usishangae ukiambulia gunia 3 au 1 kwa hecta. kwani kilimo chetu ni cha kutazama juu. Mvua zisiponyesha walahi umekwisha. Kama unaweza pata sehemu ya kulima kwa umwagiliaji, an kuencourage, otherwise ndoto za mchana.
 
Hongera kwa kuwa mkulima maana wanahitajika watu kama nyie wengi ili nchi yetu tusife ne njaa. Big up




 
big up my broda.safi sana.huo ndio mwendo mkuu!mungu akusaidie ufikie malengo yako.

nilipo:flypig:kutana na YESU historia ya maisha yangu yote ilibadilika.:flypig:

Sasa hiyo avertar yako na Yesu wapi na wapi?
 
Elnino mbona umepotea kwenye THREAD uliyoanzisha.. ulifanikiwa au hukufanikiwa, kumbuka kuwa sasa umepita mwaka tangu uanzishe thread hiii. na watu wapo interested kupata matokeo,, mimi nililima ekari 20 za alizeti kiteto nikatoka kapa nasema tena Kapa maana sikupata hata Tsh moja.

Nilikuwa nimewekeza kama 1m. ila sijakata tamaa, nimeamua kuwekeza katika kununua mazao badala ya kupanda ili kupunguza risks. aidha nimeamua nilime mazao ya muda wa kati e.g. Maembe ya 3 yrs na nanasi ya miezi 18 maana naona mazao ya muda mfupi yanayohitaji close supervsion yatanishinda.

Aidha naandaa business plan ili nianze ufugaji wa kuku wa mayai, nilitaka kuku wa kienyeji ila it seems it takes long time before getting returns.
 
mkuu ule mpango wako wa kulima halizeti kule bagamoyo ulifikiwa wapi ? Kama una business plan ya kilimo cha mananasi nakuomba utulilie kwenye kilomo group.
 
mkuu ule mpango wako wa kulima halizeti kule bagamoyo ulifikiwa wapi ? Kama una business plan ya kilimo cha mananasi nakuomba utulilie kwenye kilomo group
 

HONGERA SANA - UKIPATA "MAHELA" USIWASAHAU YATIMA.:dance:
 
Angalizo tu,bei ya mahindi wakati wa kuvuna huwa inategemea soko,mwaka jana serikali ilinunua kilo kwa sh 330, kwa kilo mia ni sh 33000, wamenunua hivyo mpaka mwezi wa tatu.sasa basi weka gharama za kuhifadhi pia mpaka bei itapopanda.

Na pia ujue kwenye masoko wanauza madalali ivyo hiyo ni bei wanayouzia wao sio kununua kwako, pia nina shaka na avarage bags per acre ipo juu.

Faida ipo ila kwa hesabu zako utakufa kwa presha.
 

ANAMAANISHA ACRE AMBAYO NI APPRX. 70m X 70m NA SIO HECTARE YA 100m X 100m UNAYOZUNGUMZIA WEWE
 

Ila bei ya kuuzia gunia mbona iko juu sana au una ghala la kuhifadhia kwani sijaona kama umepiga bei ya kununulia viroba na storage costs including dawa ya kuzuia wadudu.

All in all hili ni wazo zuri sana mimi nina eka 5 na zote huwa nalima mahindi na maharage na natafuta shamba kubwa zaidi. Wewe mwenzangu una bahati ya kukaa sehemu yenye mashamba makubwa huku kwetu Ar. kila mtu anataka shamba na ni ngumu kupata kubwa namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…