Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

Ufuta hauhitaji MVUA nyingi chakufanya! Achukue MBEGU ya muda mfupi then apande MVUA za MACKA zinapoanza Ili zinapokata ufuta unakuwa umeshakomaa!

Yaani Zao halihitaji Mvua nyingi kisha lipandwe wakati wa mvua nyingi tena (Masika)???
Sijaelewa!!
 
Elnino

Ulipost hii thread mwaka 2010, sasa huu ni mwaka 2014, vp ungependa kutupa feedback ili kuwainspire na wengine as watu wengi walikusupport na nina imani wanapenda kusikia kutoka kwako.

Yaah nami pia nadhani hii kazi iliyo anza 2010 inahitaji MREJESHO ili kweli tujue maendeleo uliyopata, changamoto ulizokumbana nazo na namna ulivyozitatua!

Hii itazidi kutujenga na kutuhamasisha zaid humu JF AU VIPI!?
 
ni kweli kabisa mkuu, maeneo yapo mengi sana ya bwerere. mimi nililipa elfu 3o serikali ya kijiji, nikapewa uanachama wa kijiji na kiwanja cha kujenga kibanda changu, kisha nikapelekwa shambani nikajihesabia hekari za bureeeee zikiwa na miwanga ya kumwaga!!! karibuni vijijini jamanni, ni raha sana, hasa ukijua kuishi na wanavijiji (kutoa landrover ya bure misibani, jenereta na mafuta bure harusini,amini nakwambia pesa iko shambani)

Wapi huko amoeba?
 
Yaah nami pia nadhani hii kazi iliyo anza 2010 inahitaji MREJESHO ili kweli tujue maendeleo uliyopata, changamoto ulizokumbana nazo na namna ulivyozitatua! Hii itazidi kutujenga na kutuhamasisha zaid humu JF AU VIPI!?


Hukusoma vizuri thread nzima, ndg. El nino alitoa feedback zamani sana.

To make it short ni kwamba kilimo kilimshinda, akaamua aingie kwenye food processing industry, kwa sasa ana supply animal feed
 
Makadirioni kwamba kila hekari average ni gunia 30, nitategemea kupata gunia 1500 za mahindi kutokana na hekari zangu za sasa 50. Kila gunia average selling price ni Tshs 60,000. kwa hiyo nitapata average Tshs 90m by July this year
.

This way wananchi wote wangeacha shughuli zao wangekimbilia shambani.
 
@Malila nahitaji shamba la kukodisha karibu na mkuranga kwa kilimo cha kitunguu na tikiti maji... any ideas?

Nina kipande cha eka 20 kando ya mto Galawani,kinafaa kwa tikiti maji na mboga zingine.Maji ni ya kudumu, usafiri wa daladala toka Mbagala upo, nauli ni Tsh 3000/. Nyumba ya kuishi vijana ipo. Kama uko tayari sema tuingie mkataba.
 
Nina kipande cha eka 20 kando ya mto Galawani,kinafaa kwa tikiti maji na mboga zingine.Maji ni ya kudumu, usafiri wa daladala toka Mbagala upo, nauli ni Tsh 3000/. Nyumba ya kuishi vijana ipo. Kama uko tayari sema tuingie mkataba.

Ndio kijiji gani hicho ndugu? Je bado kuna fursa ya ardhi?
 
Mkuu ni mkataba wa aina gani unaotaka kwenye hilo eneo lako

Ukilima tikiti maji eka moja unalipia laki moja upfront. Ukivuna na ukatamani kulima tena, unalipia tena laki moja. Yaani kila eka moja nakodisha laki moja kwa siku 60 za matikiti maji.
 
Ukilima tikiti maji eka moja unalipia laki moja upfront. Ukivuna na ukatamani kulima tena, unalipia tena laki moja. Yaani kila eka moja nakodisha laki moja kwa siku 60 za matikiti maji.

Vitunguuuu vinakubali pande hizooooo
 
Ila kuna mdau mmoja aliniambia red indian inakubali, na yy alijaribu pale Funza Shungubweni. Nitafuatilia kwa jamaa.

Embu Fatiliaaa mzazi uniambieeee...Nataka kupiga iyo ishu mwezi wa 10
 
samahan malila huko pori tupu ambalo halijafyekwa ni bei gani am more interested kupata eneo pande izo za mkuranga if God wishes
 
Back
Top Bottom