The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Jamaa anachezeachezea hela kizembe zembe kwa kugawa hovyo hovyo kwa mademu na watu potential kama mimi ambitious na wenye business plans za hatarii tikiwezeshwa can make a very big difference in the employment fieldAcha kuomba omba wanaume wenzio hela. Benki mbona wanatoa mikopo.
Yeye aliwezeshwa na nani kuzipata? Acha kupenda kitonga.Jamaa anachezeachezea hela kizembe zembe kwa kugawa hovyo hovyo kwa mademu na watu potential kama mimi ambitious na wenye business plans za hatarii tikiwezeshwa can make a very big difference in the employment field
Labda kazi yake ni kumdelete meiwezaFanya kazi
Dogo acha porojo jamvini. Mtafutaji hachoki kutafuta hela. Lazima uwe na strategies nyingi tu za kutafuta hela. Huku unapiga mzigo na huku unasaka kwa walizonazo. Kumbuka siyo kupewa bure ni mkopo unarudisha. Nina strategies nyingi tu na siyo kwa Meiweza tu.Yeye aliwezeshwa na nani kuzipata? Acha kupenda kitonga.
Wewe Copenhagen pamoja na kukaa huko Ulaya bado tabia zako za Ngarenaro hauachi. Badilika bana..pambana .wenyewe utatoka. Mbona sisi huko Matejoo tunatoboa kiubishi. Hela za kupewa hata siyo tamuJamaa anachezeachezea hela kizembe zembe kwa kugawa hovyo hovyo kwa mademu na watu potential kama mimi ambitious na wenye business plans za hatarii tikiwezeshwa can make a very big difference in the employment field
Dah umenikumbusha matejoo aiseee chalii yanguWewe Copenhagen pamoja na kukaa huko Ulaya bado tabia zako za Ngarenaro hauachi. Badilika bana..pambana .wenyewe utatoka. Mbona sisi huko Matejoo tunatoboa kiubishi. Hela za kupewa hata siyo tamu
safiiiiMzuqa wanajamvi!
Yani Meiweza anakera sana. Toka 2016 nilikuwa nafiziaga posti zake yani akiposti tu na mimi wa kwanza kulike na kukoment mfululizo kama mara mia maneno yaleyale. Floyd my brother please give me a loan of one million dollars i will return to you slowly after one year when i establish my business which will employ more than 20 people. Am your die hard fan for life!
Lakini cha kusikitisha comment zangu anafuta. Kuna rafiki yangu akaniambia watu wenye status kama akina floyd wameajiri watu maalum wanaosimamia account yake ya insta ila sikukata tamaa nikawa navizia tu posti zake mpya jamaa ananignore.
Leo nikasema this is bullshit nikaamua kumdelete kabisa
Nimecheka sana hii comment. Mkuu pambana na hali yako tu ya kubeba box, jamaa siyo mstaarabu kabisa.Mzuqa wanajamvi!