The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mzuqa wanajamvi!
Yani Meiweza anakera sana. Toka 2016 nilikuwa nafiziaga posti zake yani akiposti tu na mimi wa kwanza kulike na kukoment mfululizo kama mara mia maneno yaleyale. Floyd my brother please give me a loan of one million dollars i will return to you slowly after one year when i establish my business which will employ more than 20 people. Am your die hard fan for life!
Lakini cha kusikitisha comment zangu anafuta. Kuna rafiki yangu akaniambia watu wenye status kama akina floyd wameajiri watu maalum wanaosimamia account yake ya insta ila sikukata tamaa nikawa navizia tu posti zake mpya jamaa ananignore.
Leo nikasema this is bullshit nikaamua kumdelete kabisa