Nimeamua kumdelete kabisa Floyd mayweather kwenye Instagram yangu

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuqa wanajamvi!

Yani Meiweza anakera sana. Toka 2016 nilikuwa nafiziaga posti zake yani akiposti tu na mimi wa kwanza kulike na kukoment mfululizo kama mara mia maneno yaleyale. Floyd my brother please give me a loan of one million dollars i will return to you slowly after one year when i establish my business which will employ more than 20 people. Am your die hard fan for life!

Lakini cha kusikitisha comment zangu anafuta. Kuna rafiki yangu akaniambia watu wenye status kama akina floyd wameajiri watu maalum wanaosimamia account yake ya insta ila sikukata tamaa nikawa navizia tu posti zake mpya jamaa ananignore.

Leo nikasema this is bullshit nikaamua kumdelete kabisa
IMG_20190806_093157.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa anachezeachezea hela kizembe zembe kwa kugawa hovyo hovyo kwa mademu na watu potential kama mimi ambitious na wenye business plans za hatarii tikiwezeshwa can make a very big difference in the employment field
Yeye aliwezeshwa na nani kuzipata? Acha kupenda kitonga.
 
Dogo acha porojo jamvini. Mtafutaji hachoki kutafuta hela. Lazima uwe na strategies nyingi tu za kutafuta hela. Huku unapiga mzigo na huku unasaka kwa walizonazo. Kumbuka siyo kupewa bure ni mkopo unarudisha. Nina strategies nyingi tu na siyo kwa Meiweza tu.
 
Usitegemee a selfish and arrogant person like him atoe msaada, ulishawah kuona wapi hata akitoa msaada kwa jamii, jiulize mfano tajiri Jeff bezos wa Amazon anakua na show off za kijinga kama hizo zake ? Pamoja na kwamba ana pesa ndefu sana
Mtu mwenye akili timamu huwez kumfollow mtu kama huyo.
 
Jamaa anachezeachezea hela kizembe zembe kwa kugawa hovyo hovyo kwa mademu na watu potential kama mimi ambitious na wenye business plans za hatarii tikiwezeshwa can make a very big difference in the employment field
Wewe Copenhagen pamoja na kukaa huko Ulaya bado tabia zako za Ngarenaro hauachi. Badilika bana..pambana .wenyewe utatoka. Mbona sisi huko Matejoo tunatoboa kiubishi. Hela za kupewa hata siyo tamu
 
Mzuqa wanajamvi!

Yani Meiweza anakera sana. Toka 2016 nilikuwa nafiziaga posti zake yani akiposti tu na mimi wa kwanza kulike na kukoment mfululizo kama mara mia maneno yaleyale. Floyd my brother please give me a loan of one million dollars i will return to you slowly after one year when i establish my business which will employ more than 20 people. Am your die hard fan for life!

Lakini cha kusikitisha comment zangu anafuta. Kuna rafiki yangu akaniambia watu wenye status kama akina floyd wameajiri watu maalum wanaosimamia account yake ya insta ila sikukata tamaa nikawa navizia tu posti zake mpya jamaa ananignore.

Leo nikasema this is bullshit nikaamua kumdelete kabisa
safiiii
 
Nimecheka sana hii comment. Mkuu pambana na hali yako tu ya kubeba box, jamaa siyo mstaarabu kabisa.
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom