Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

huwezi kuishi bila uongo.uongo ni mafanikio pia.
mfano unahitaji kazi kwenye kampun.watakapohitaji maelezo yako ya uaminisho.kuhusu mda gani upo ulaiani bila kazi na umewahi kujipa uzoefu kiasi gani.hapo ndo lugha inapangwa.
pia.hawa wanawake.na wao tayari wanahitaji ukweli mtupu.wakati huu.maisha yanaendeshwa na uongo %50.ikiwa wao wanwwake kwa sasa maisha yao yana ukweli %17 kati %100.
hivo hakuna kigeni kigeni ni kukutana na mtu alie na uhitaji na ukiwa na uhitaji na sio unatfta mwanamke utakaempenda.
maanake hata yeye asipopenda.ko gereza ndo hilo.
ko mi naoana bora yeye akupende %90.halafu wewe %75.
hapo ndio atakuvumilia.na uongo wako wote.
 
Umefanya jambo jema mno ukizingatia wewe ni mke wa mtu na mumeo yupo mbali nawe.

Najua kuwa upo na nyege debe zima mana mumeo yupo mbali, ungeendelea kujiweka karibu na huyo mwamba angekuchakata tu mbususu yako muda sio mrefu mana sisi wanaume ukitupa upenyo kidogo tu lazima tukutafune!

Ili kuondoa upweke na kutokummiss huyo jamaa, fanya mawasiliano na mumeo mara kwa mara.

Mungu akubariki sana kwa kujitambua!
 
Siku mtakayo kulana ndio mwisho wa urafiki wenu.
 
Ningefanyaje mkuu na wakati jamaa Kama ananipenda huku anajifanya madam madam, namwambia nimemiss yy anasema Asante. We unaona iko sawa kweli ndugu yangu
Ninyi nyote ni watu wa drama. Ila jamaa ni bora kuliko wewe. Na wewe ndiye loser.
 
unajua hii inatokana na nini mkuu?!! 90% ya wanawake hawajalelewa katika misingi ya kudekezwa kitu ambacho wanawake wengi ni kama nature...
ndio mana mwanaume hata ungekua nani ila ukimdekeza tu mwanamke 90% umewin!!!
- Na kuna ile imejengeka kwenye jamii zetu za wanawake ,kwamba mwanaume kma hakuspoil basi hafai na wewe utaonekana Cheap kwake kisa hajawahi kukupa zawadi/hajawahi kukupa hela nyingi/au hajawahi kukupeleka Matembezi ya hapa na pale!


kama tungekua tunazaliwa tunakulia mazingira ambayo unapewa mhitaji yote unasoma/ukimaliza unapewa biashara/unavalishwa unapewa pocket money yani kwa kifupi kila kitu chako kiko undercontrol wanawake wengi wangeweza friendship za hivyo maan wasingeona uajabu au interest yoyote kisa umekua spoiled
Umasikini/nature ndio inapelekea sana kuwa hivyo
 
Nikiwapata marafiki wa hv ntanenepa enewey huyo msela ndo kazingua hata kujiongeza alishindwa ila kama ulisema ana mambo mengi bas sio mbaya sana au nawe ulitaka uende kwenye hayo mambo mengi madam as he said 😀😀
 
Nilichoelewa wewe ulimpenda mwamba ila yeye ndo alikuwa hayupo serious kama wewe....ukaamua kumkataa ili ujue kama anakupenda au la...kusema kweli jamaa anakupenda na hata saiv anakumiss ila akikukula mara moja tu jiaandae kuwa mtumwa wake.....yangu ni hayo tu
 
Tafuta kazi mama Vivian inaonyesha kabisa nyie hamko seriously kutafuta ela
 
Such an innocent soul, as is naive too 🤠
 
Si ulienda dar kwa mume wako ukasema nisikutafute au umesharudi dodoma
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…