Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Mmi nikitaka kuachwa na demu namuomba ndogo, lazima aje juu kama ngiri aliyejeruhiwa, alafu mchezo ndiyo umeisha.

Nyinyi mko penzini
Dah siku utayakanyaga hutaamini[emoji16][emoji16],,,niliwahi kuyakanyaga nikala nduki balaa kibao kikageuka kua siwezi date na anayetoa ndogo wakati niliomba ili nipigwe chini nikaishia kuambulia mitusi ya maana.
 
Imeishaaaaaa!!!!
 
Hutaki a mute kimya?
 
Ningefanyaje mkuu na wakati jamaa Kama ananipenda huku anajifanya madam madam, namwambia nimemiss yy anasema Asante. We unaona iko sawa kweli ndugu yangu
Kwa wanaume kuna watu huwa ni marufuku kuanzisha nao mahusiano ya kingono. Mfano binafsi ukiwa umeolewa na ninamfahamu mumeo siwezi kamwe kukutia. Mbili tukiwa tunafanya kazi eneo moja au jengo moja au jirani yangu kuliwa sahau, mke wa rafiki au mtoto never, sijui house girl mpaka arudi masihi.
Binafsi napenda kufurahia maisha naweza kukutunuku ukaenjoy upendavyo... mpaka ukahisi labda ipo siku ntakufyatua kitufe sahau... ukijiliza ntakupetpet vijisent utapata ila ukiingiza ngono au kijifanya unanimiliki tu ndio mwisho wetu. So mtoa mada ujue viumbe wa hivyo tupo. Na hatushoboki wallah so kama anakuheshimu kimadam madam heshimu huo mpaka. Ukileta dharua unaliwa mara moja tu na hutakaa uguswe tena.
 


1. Angalia wanao.
2. Tafakari aibu kwa wazazi wako.
3. Angalia uthamani wa ndoa yako.
4. Fuatilia story za wasaliti (ujuta)

Halafu fanya maamuzi, ashakulegeza huyo na ameshalala na wewe, anajua hauna ujanja tena.

Sijui mtu ana samehe vipi usaliti, imagine huyu ndo mke wako anaelezea mwanaume hivi, mpaka kumpikia?
 
Shida kweli kweli ah ndio maana wana wenye hela wanawagonga na kusepa. Always trying to play victim when it comes to sex
 
Ah wee bwana suala la mke kutombwer wala lisikuoe presha. Wnawake wenye tunaoa breki pumbu alafu unategemea kuwa kwenye ndoa hatagawa mbususu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…