Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Intead of going directly kuomba mbususu try dat alternative way..95% utawala bila hata ya kuomba mzigo.Yaani wanakutunuku tu kimasihara
Mhm hapana. No nation has benefited from prolonged warfare.
Am not seeking marriage, i just wana burst a nut thats all.
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Wanawake wa kibongo hampendi kuwekwa ktk friendzone?

Ila ni wanawake wachache tu ambao wanaweza kuudumisha urafiki bila ya kutoa mbususu ila 95% watatoa tu.

Yaani umchukue demu wa ofisini kirafiki tu halafu labda weekend umpeleke beach , m-spend the whole day drinking ,eating and having fun...mrudi home mcheki movies ,halafu uwe ile close kumjulia hali n.k halafu asikutunuku?
Tupo tunaokaza 🤣
Na tunadumisha urafiki... maana mwanzo wa kupeana vikojoleo ndio mwanzo wa kuharibu urafiki.
 
Tena yeye ndio anayatafuta.Ameliwa ki side chick halaf ana test mitambo ya string -attchment anakuta ile ilikua just kumegana tu nothing of interest..Anapagawaaa analeta uzi hapa

Ndoa inaenda kumshinda na kwa mchepuko kapotezewa, sijui itakuwaje?!!! [emoji2222][emoji2222]
 
Wakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara pika nije kula na kudekezana.

Nikaanza kuona hapa nikileta ujinga tutaingia kwenye mahusiano, na mtu mwenyewe jamaa anaonekana ana mambo mengi. Basi leo tukachuniana tangu asubuhi, jioni hii nikamwambia I miss you, akaajibu thanx madam[emoji849].

Eeh pozi likaniishia nikasema any way acha nimchane, nikamwambia naomba urafiki wetu uishie na maneno mazuri mazuri ya kumtia moyo, nikajaza paragraph mwisho nikamwambia ntakumiss bye.

Jibu alilonipa sasa Good luck [emoji3]

Mimi kuona hivyo nikamtia block na kufuta namba zake juu.

Sasa hivi nimekaa hapa tayari nishamiss, najua na yeye pia atakua kanimiss lakini najua ujeuri wa wanaume anaweza akamute kimya.

Wakuu, Je nimekosea kumpotezea huyu rafiki yangu?
Ungesubili alete tamaa ndo ufanye ulivyofanya, kwakuwa umefanya ulivyofanya wakati jamaa hajaleta tamaa nahitimisha wewe ndo ulikuwa unataka.
 
20230619_004732.jpg
ladiz endi jentomeniz! Kuna kiumbe kimesha folu ini lavu. Haya ndio yale mapenzi kama ya sekondari.

Timu ya wahuni tunamuunga mwamba mkono, anajua kubalansi shobo.

Neksti taimu tutamuita aje atoe semina elekezi ya jinsi ya kubalansi shobo katika kikao kijacho cha wanaume.
 
Ukitaka mwanamke akuchukieee Akuoneshe dalili zote anakutakaa alafu wewe USIMTONGOZEEE aisee huwa wanapagawaa sanaa..! Sasa wew dada mhaho umekushikaa kuona jamaa hana time ya Utamu wakooo sema polee..
 
Back
Top Bottom