Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

[emoji16][emoji16] wanaume tunapitia mengi Sana! Mwenetu huko saiv anacheza pool table huko au anafuatilia game za AFCON hajui kama kuna pisi imemfungulia thread huku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hatar Sana,mwamba kawakilisha
 
Tena yeye ndio anayatafuta.Ameliwa ki side chick halaf ana test mitambo ya string -attchment anakuta ile ilikua just kumegana tu nothing of interest..Anapagawaaa analeta uzi hapa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wewe pika then mwite jamaa na akukute umeoga vizuriiii.Akifika tu tupa kanga kulee ubaki na kyupi tu halafu mwambie wali samaki ule pale kwa meza.Utaona vile siku itakuwa nzuri kwako
 
Wewe pika then mwite jamaa na akukute umeoga vizuriiii.Akifika tu tupa kanga kulee ubaki na kyupi tu halafu mwambale kwa meza.Utaona wako
Athumani kichwa wazi tayari yupo hewani huku.
 
Hujakosea [emoji3][emoji3]

Mihemko yako ndo ilifamya uone kama anakutaka… umejiskia vibaya kuona ye hayuko mawazo yako yalipo

Ukajipa moyo umuache as if mlikua kwenye mahusiano.

Mwenzako hana shida we ndo unatapatapa sasa

In short akirudi atakukula na urafiki hautaendelea utaumia kuliko sasa

Ila polee[emoji6]
Kumbe alitaka dudu? [emoji1787][emoji1787]
 
Kisa chako kinanikumbusha namna nilivyompa taabu dada mmoja hivi.Ilikuwa hivi;

Nilikutana naye na tukajenga mazoea kiduchu kisha nikamtoa out tukapiga pombe na nyama na kuhama ukumbi siku nzima alivyolewa na ile kushikana shikana nikagundua yuko period.

Nikamchukua na bolt mpka kwake na kumlaza na kufunga mlango kisha ufunguo nikamtupia ndani na mimi nikageuka na bolt mpka kwangu.

Asubuhi akanicall na asante za hapa na pale na mimi nikamwambia kuwa umeniacha na nyege ukikaa vzuri naomba Papa hiyo niichakate.

Akaanza zile oooh ntakupa siku 1, sijui subiri usiwe na haraka, na ukizingatia ni mdada wa nguvu jeupe zuri na mikalio ya kufa mtu na zile kutongozwa kila apitapo sijui zilimpa kiburi akajiona prngine kila mwanaume atabaki anamlilia kila siku.

Nilivyoona mzigo hataki kutoa anarukaruka mimi nikapiga kimya,Futa namba na maisha yanaendeleaa,Yule dada ilikuumiza sana kwamba y mwamba nimempotezea ghafla na sina time naye,Siku 1 akanitumia sms ndeefu kuwa sijui najiona keki sijui kwanini nimpotezeee wakati ingetakiwa nisubiri siku yyte angenipa TUNDa.

Sikujibu ila baada ya siku 2 nikampigia kutumia namba ile aliyonitext na kumwambia jioni tuonane sehemu x,Akaja pombe na nyama akalewa kushikana shikana nikaona hayuko period, Nikampeleka lodge nikamchakata, asubuhi game ikarudiwa.

BAADA YA HAPO NILIMBLOCK MAZIMA NA SIKUTAKA MAWASILIANO KABISAAAAAA.

ANANIONA MHUNI KWAMBA WANAUME WENGINE WANAMLILIA NA KUMHONGA PESA NDEFU HALAFU MIMI SINA TIME NAYE.

WANAWAKE JIFUNZENI KUWA KUNA WANAUME HAPA DUNIANI BADO WANA MISIMAMO YA KIUME JAPO WACHACHE KAMA HUYO MWAMBA HAPO JUU
Kisa juu ya kisa namie ngoja niongezee hapa changu.

Huyu bidada tulifahamiana 2021 kwenye magroup haya ya ku socialize kama vijana.
Tukawa tunawasiliana kama kawaida though tulikuwa wilaya tofauti lkn mkoa Mmoja.

Sikuwahi kumtongoza lkn kubebishana kama kawaida.

Mwaka jana kaja kitaani kwetu kama muajiriwa ofisi moja hivi, akanicheki na uzuri nilikuwa nipo around kwa wakati huo nilikuwa likizo ( mwezi wa 12, 2022), tukaonana story kadhaa, badae anavorudi kwake tukapitia gengeni chukua mazaga, tukasepa.

Nimefika kwake nikataka nitumie ubaharia na uzoefu wa humu kula kimasihara ikashindikana nikitumia advantage ya kuwa tushazoeana wayback, nikaaga nikasepa. Kesho asubuhi akaniomba msamaha kwa kunibania, nikaomba radhi pia ILA nikachomekea leo vpi sinije unipe sasa ,akajibu kaingia period akimaliza atanipa.

Likjzo ikaisha hajamaliza period, mie nikarudi kujitafuta. Ilitokea emergency home nikarudi, ilikuwa ni baada ya week kadhaa tangu niondoke, nikamwambia nimerudi story kadhaa nikamuomba gemu hakujibu sms zangu Hadi naondoka, hii ilikuwa ni attempt ya 2.

Attempt ya 3 nimefanya miez kadhaa iliopita nilirudi as usual kuchek mazingira ya homeland. Sikumwambia kama nimerudi, tukaja kuonana njian, salam za kinafiki kila mtu akala 50 zake. Acha asinambie oooh sorry kipindi kile umerudi nlikuwa bado niko period, kumbuka ni zaidi ya siku 20 zimepita hadi ile siku nimerudi bado alikuwa period, akaongeza afu unajua ndio mara yangu ya kwanza kwenda siku nyingi hivi, nikampa pole, nikamute.

Nilivoona kama ananikwepa nikaona nisiombe tendo ila niombe appointment akiwa anarudi home nimsindikize, imefika muda wa kuondoka kwenda home ,nikamchek akasema nisubir kuna mzigo anausibiria, nikasema ukiwa unaondoka naomba nicheki, HAKUNIJIBU ILE SMS hadi siku naondoka pale.

Nika write-off kwenye accn book zangu, nikampotezea, ikawa ni kuview status basi, mara moja moja anakomenti najibi kivivu nikiona analeta ukaribu ma kujichekesha namu ignore. Juzi kanicheki uko wapi??? Nika ignore hadi saivi, aende akapee coochie yake kwa alpha male
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa wee nae bwege kweli kwa hiyo ulitaka akubembeleze [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulishasema jamaa hajatulia means he got options. Umebugi

Mzabzab mimi naomba urafiki wetu ufe usinipigie simu wala mimi sitakupigia
 
Kisa juu ya kisa namie ngoja niongezee hapa changu.

Huyu bidada tulifahamiana 2021 kwenye magroup haya ya ku socialize kama vijana.
Tukawa tunawasiliana kama kawaida though tulikuwa wilaya tofauti lkn mkoa Mmoja.

Sikuwahi kumtongoza lkn kubebishana kama kawaida.

Mwaka jana kaja kitaani kwetu kama muajiriwa ofisi moja hivi, akanicheki na uzuri nilikuwa nipo around kwa wakati huo nilikuwa likizo ( mwezi wa 12, 2022), tukaonana story kadhaa, badae anavorudi kwake tukapitia gengeni chukua mazaga, tukasepa.

Nimefika kwake nikataka nitumie ubaharia na uzoefu wa humu kula kimasihara ikashindikana nikitumia advantage ya kuwa tushazoeana wayback, nikaaga nikasepa. Kesho asubuhi akaniomba msamaha kwa kunibania, nikaomba radhi pia ILA nikachomekea leo vpi sinije unipe sasa ,akajibu kaingia period akimaliza atanipa.

Likjzo ikaisha hajamaliza period, mie nikarudi kujitafuta. Ilitokea emergency home nikarudi, ilikuwa ni baada ya week kadhaa tangu niondoke, nikamwambia nimerudi story kadhaa nikamuomba gemu hakujibu sms zangu Hadi naondoka, hii ilikuwa ni attempt ya 2.

Attempt ya 3 nimefanya miez kadhaa iliopita nilirudi as usual kuchek mazingira ya homeland. Sikumwambia kama nimerudi, tukaja kuonana njian, salam za kinafiki kila mtu akala 50 zake. Acha asinambie oooh sorry kipindi kile umerudi nlikuwa bado niko period, kumbuka ni zaidi ya siku 20 zimepita hadi ile siku nimerudi bado alikuwa period, akaongeza afu unajua ndio mara yangu ya kwanza kwenda siku nyingi hivi, nikampa pole, nikamute.

Nilivoona kama ananikwepa nikaona nisiombe tendo ila niombe appointment akiwa anarudi home nimsindikize, imefika muda wa kuondoka kwenda home ,nikamchek akasema nisubir kuna mzigo anausibiria, nikasema ukiwa unaondoka naomba nicheki, HAKUNIJIBU ILE SMS hadi siku naondoka pale.

Nika write-off kwenye accn book zangu, nikampotezea, ikawa ni kuview status basi, mara moja moja anakomenti najibi kivivu nikiona analeta ukaribu ma kujichekesha namu ignore. Juzi kanicheki uko wapi??? Nika ignore hadi saivi, aende akapee coochie yake kwa alpha male
Nzuri hiyo. Ulitakiwa u mute from the second attempt... Kwenda mpaka third attempt hapo lazima alikuona ndezi hivi. Ila still umefanya vyema kumkaushia hata sasa hivi.

The more you chase a woman, it's the more she will find excuses to get away from you. And the vice versa is true [emoji1690]
 
Hujakosea 😀😀

Mihemko yako ndo ilifamya uone kama anakutaka… umejiskia vibaya kuona ye hayuko mawazo yako yalipo

Ukajipa moyo umuache as if mlikua kwenye mahusiano.

Mwenzako hana shida we ndo unatapatapa sasa

In short akirudi atakukula na urafiki hautaendelea utaumia kuliko sasa

Ila polee😉
Kwa maelezo haya, nakubaliana na ule usemi kuwa wavumbuzi wengi wamaswala ya historia ni wanawake. Umeunga dots kwa umakini sana.
 
Kisa juu ya kisa namie ngoja niongezee hapa changu.

Huyu bidada tulifahamiana 2021 kwenye magroup haya ya ku socialize kama vijana.
Tukawa tunawasiliana kama kawaida though tulikuwa wilaya tofauti lkn mkoa Mmoja.

Sikuwahi kumtongoza lkn kubebishana kama kawaida.

Mwaka jana kaja kitaani kwetu kama muajiriwa ofisi moja hivi, akanicheki na uzuri nilikuwa nipo around kwa wakati huo nilikuwa likizo ( mwezi wa 12, 2022), tukaonana story kadhaa, badae anavorudi kwake tukapitia gengeni chukua mazaga, tukasepa.

Nimefika kwake nikataka nitumie ubaharia na uzoefu wa humu kula kimasihara ikashindikana nikitumia advantage ya kuwa tushazoeana wayback, nikaaga nikasepa. Kesho asubuhi akaniomba msamaha kwa kunibania, nikaomba radhi pia ILA nikachomekea leo vpi sinije unipe sasa ,akajibu kaingia period akimaliza atanipa.

Likjzo ikaisha hajamaliza period, mie nikarudi kujitafuta. Ilitokea emergency home nikarudi, ilikuwa ni baada ya week kadhaa tangu niondoke, nikamwambia nimerudi story kadhaa nikamuomba gemu hakujibu sms zangu Hadi naondoka, hii ilikuwa ni attempt ya 2.

Attempt ya 3 nimefanya miez kadhaa iliopita nilirudi as usual kuchek mazingira ya homeland. Sikumwambia kama nimerudi, tukaja kuonana njian, salam za kinafiki kila mtu akala 50 zake. Acha asinambie oooh sorry kipindi kile umerudi nlikuwa bado niko period, kumbuka ni zaidi ya siku 20 zimepita hadi ile siku nimerudi bado alikuwa period, akaongeza afu unajua ndio mara yangu ya kwanza kwenda siku nyingi hivi, nikampa pole, nikamute.

Nilivoona kama ananikwepa nikaona nisiombe tendo ila niombe appointment akiwa anarudi home nimsindikize, imefika muda wa kuondoka kwenda home ,nikamchek akasema nisubir kuna mzigo anausibiria, nikasema ukiwa unaondoka naomba nicheki, HAKUNIJIBU ILE SMS hadi siku naondoka pale.

Nika write-off kwenye accn book zangu, nikampotezea, ikawa ni kuview status basi, mara moja moja anakomenti najibi kivivu nikiona analeta ukaribu ma kujichekesha namu ignore. Juzi kanicheki uko wapi??? Nika ignore hadi saivi, aende akapee coochie yake kwa alpha male

Ndo dawa yao
 
Mzabzab mimi naomba urafiki wetu ufe usinipigie simu wala mimi sitakupigia
Jamani sasa mie nitapata wapi wakunishauri jinsi ya kuachana na pisi kali anae nichunua daily na mbususu hanipi?
Usifanye hivyo besty....i miss u
 
Wakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara pika nije kula na kudekezana.

Nikaanza kuona hapa nikileta ujinga tutaingia kwenye mahusiano, na mtu mwenyewe jamaa anaonekana ana mambo mengi. Basi leo tukachuniana tangu asubuhi, jioni hii nikamwambia I miss you, akaajibu thanx madam[emoji849].

Eeh pozi likaniishia nikasema any way acha nimchane, nikamwambia naomba urafiki wetu uishie na maneno mazuri mazuri ya kumtia moyo, nikajaza paragraph mwisho nikamwambia ntakumiss bye.

Jibu alilonipa sasa Good luck [emoji3]

Mimi kuona hivyo nikamtia block na kufuta namba zake juu.

Sasa hivi nimekaa hapa tayari nishamiss, najua na yeye pia atakua kanimiss lakini najua ujeuri wa wanaume anaweza akamute kimya.

Wakuu, Je nimekosea kumpotezea huyu rafiki yangu?
Reading between the lines inaonyesha ingawa kuwa umeolewa humpendi mumeo na wala huja mmiss. Maana katika maelezo yako hapa na majibu yako ya post za watu mbali mbali hujasema hata mara moja kama unampenda mumeo, pia inaonyesha kuwa ulikuwa unataka ubembelezwe zaidi kidogo tu na ungelimpa mavitu huyo "rafiki yako". Tatizo ni kuwa uliamua kutikisa kibiriti na matokeo yake umekuta hakitikisiki!
 
Long distance marriage (relationship) ni torture kwa walio wengi. Haidhuru basi mke/mume, sasa just girlfriend aaagr ni kupeana stress tu.
 
Back
Top Bottom