Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Habari za muda wakuu jana niliomba ushauri kuhusu kuhama kwa kaka yangu.
Kiukweli najilaumu sana kuchelewa kuanza maisha kwa sababu ya kusubili ahadi za ndugu toka nikiwa na miaka 23 nimekuwa nikiahidiwa msaada na mbaya zaidi mimi ndio nilikuwa nipo nyumbani na mama huko mkoani, Nimekuwa pale kwa miaka mingi huku ndugu zangu wakiwa Dar.
Kila wakija walikuwa ni watu wa kuniahidi kunisaidia jambo ambalo limenifanya kubweteka.
Nimeishi hapo mpaka pale kaka yangu alipokuja kunichukua mwishoni mwa 2019 yeye pia baada ya kunileta ajajitoa kwa dhati kwa ajili ya kunipa msingi bora japo uwezo wake kifedha c haba na kaajili watu wengi ila mimi amekuwa akiniunganisha kwenye kazi za kuangaika sana mpaka sasa sina maendeleo yoyote nafsi inaniuma sana maana nimechelewa sana kuanza kujitegemea now nina miaka 32 kiukweli naona aibu kuendelea kubaki hapa kwa bro.
Sina msingi wala mtaji ila niluchoamua from now nikuuza simu yangu na kwenda kupanga mengine yatajulikana mbele ya safari najua ni uamuzi mgumu lakini nimeamua kwa moyo wa dhati kwenda kujitegemea.
Nimechelewa sana nafsi inaniuma mno sina furaha kwakweli ila nilichoamua ndicho hicho. Na hakuna kurudisha mpira kwa kipa naenda kuhastle kiukweli.
Naombeni baraka zenu ndugu zangu.