stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Kuna jamaa alipotelea Muleba akawa anaomba MSAADA humu sijui aliishia wapi yule jamaa, uzi wake watu walikua wanaupita km hawauoni, sikia mkuu kabla haujafanya jambo lazima uwe na in & out, je wewe umejipangaje au umekurupuka tu je umemshirikisha nani katika maamuzi yako, mwingine anakupump humu yeye bado anagongea ugali w shikamoo kwa baba yake na ana 40+ Ila hajafikia maamuzi uliyoyaamua wewe, jiulize je ninachofanya ni sahihi nafuata njia ya mafanikio au nafuata njia ya kujipa Uhuru wa kufanya ngono na anasa?Ahsante sana chief nitapotea kwa muda ila naamini ipo siku nitarudi humu nikiwa mshindi nitaleta mrejesho kwa rehema zake mola
32 sio umri mkubwa kwa kipindi hiki kutokana na mfumo wa maisha ulivyo ni tofauti na wengine walivyo wengi wenye 30+ wapo makwao hawajapanga na wengine hawana kazi, hawana ajira bado wanatangatanga tu hapa mjini, sasa ukienda huko unapoenda pakakubana let say ukafeli vibaya what's your plan B & plan C yaan ukifeli hiki basi utafanya hiki maana inanekana lazima urudi na km hujarudi ukalazimisha basi utaingia kwenye matukio ya kuwapiga watu aidha utawaibia au utafanya vyovyote ili upate pesa uweze kujikimu maana hakuna anaekusaidia na huwezi kuishi bila kula,