Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
- #101
Inawezekana unanifaham kweli mkuuKama nakufahamu vile[emoji28][emoji28]
Jikaze mkuu ugali wa shikamoo haufai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana unanifaham kweli mkuuKama nakufahamu vile[emoji28][emoji28]
Jikaze mkuu ugali wa shikamoo haufai
Unawaza -ve tu, mi naamini atafanikiwa.Jamaa simjui na hakuna nilipopinga nilichompa ni ushauri huwezi ukafanya Mambo kwa kukurupuka, nikampa mfano wa yule jamaa alienda muleba akaanza kutapatapa humu anaomba MSAADA wakati kwao aliondoka mwenyewe akaenda muleba eti kutafuta maisha hamjui mtu hana ramani akaanza kuomba kazi kwenye ofisi za utalii so what? Fanya Mambo kisomi sio unakurupuka ukipata shida unaanza kusumbua watu na kutiatia huruma
Punguza dharau ndugu. Kuna watu walitoka wakaenda kujitegemea wakapata mpk watoto na maisha yakawashinda wakarudi nyumbani.Unachekesha kweli,sasa wataka wazazi au wewe,kweli vijana wa sasa hivi ovyo sana,yani wewe ndo unapanga maisha yako,wazazi washakulea umekuwa wamemaliza yao kilichobaki ni wewe tu
Ukifika ukapata helaNi kweli kabisa ndugu hii kitu imenilemaza hakika
Wewe inaonekana mwoga wa kuthubutu ..acha atoke kwenye hiyo comfort zone kwanza! Atapata spirit ya ajabu kufightNdio maana nikakwambia plan yako sio unakurupuka je umeandaa mazingira gan uko unakokwenda? Km umejiandaa go ahead champ one day yes no retreat no surrender,
Afu tena ukiwa mwanaume popote pale unaenda...unajilipua kokote tuUnawaza -ve tu, mi naamini atafanikiwa.
Yani wewe unataka jamaa aendelee kua tegemezi kwa ndgu zake.
Huyo jamaa wa muleba ni mmoja kati ya 100 waliotusua. Huyo jamaa sio mtoto miaka 32 umesepa kwenu halafu urudi eti life limekupiga tena labda aumwe au apate ulemavu la sivyo naamini hawezi kurudi.
Huyo wa muleba kama hakuumwa na hakupata ulemavu wowote na kaamua kurudisha mpira kwa kipa nae ni lofa tu.
Kabisa mkuuAfu tena ukiwa mwanaume popote pale unaenda...unajilipua kokote tu
Ahsanteni ndugu zangu kwa kunitia moyo kiukweli naona nitoke tu maeneo haya hiii itanisukuma zaidi katika utafutajiKabisa mkuu
Ahsanteni ndugu zangu kwa kunitia moyo kiukweli naona nitoke tu maeneo haya hiii itanisukuma zaidi katika utafutajiWewe inaonekana mwoga wa kuthubutu ..acha atoke kwenye hiyo comfort zone kwanza! Atapata spirit ya ajabu kufight
Ahsante sana kaka ubarikiwe piaMpaka sasa umeshafanikiwa brother,,,Mwenyezi Mungu anaangalia nia yako,,,kitakachofata kitakushangaza sana,,,Mungu hamtupi mja wake,,Neema na iwe juu yako..
Ahsante sana ndugu yanguMpaka sasa umeshafanikiwa brother,,,Mwenyezi Mungu anaangalia nia yako,,,kitakachofata kitakushangaza sana,,,Mungu hamtupi mja wake,,Neema na iwe juu yako..
Sawa sawa mkuuTafuta kazi hata viwandani ujishikize unipe kodi
Sepa tu mkuu, ila tu usiondoke kwa shari. Kama upo karibu nao basi hata baada ya miezi 3 au 4 unawatembelea.Ahsanteni ndugu zangu kwa kunitia moyo kiukweli naona nitoke tu maeneo haya hiii itanisukuma zaidi katika utafutaji
Siwez ondoka kwa shari maana atujakorofishana bac ni uamuzi tu nimechukua baada ya kuona ni muda sahihi wa mimi kujitegemeaSepa tu mkuu, ila tu usiondoke kwa shari. Kama upo karibu nao basi hata baada ya miezi 3 au 4 unawatembelea.
Amina bro nakushukuru sanaKila la kheri kamanda Mungu akubariki
Amina mkuuNenda kaka, MUNGU yupo nawe
AminaNenda baba Mungu akutangulie