Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
ni bahati sana kupata usafiri wa mojakwa moja namna hiyo maeneo hayo ni aidha ugeueke na kidala au upande gari za ruti nyingine zikusogeze na kwahivyo ukitoka home na elfu10 huwezi rudi home hata na senti moja bali utarudi tu na njaaa kali sana na kiu ya haja 🐒Weka vizuri hesabu zako. Gharama ya nauli kutoka Gongo la Mboto hadi Posta, inalinganaje na gharama ya kuweka mafuta gari la kukutoa Gongo la Mboto hadi Posta? Tufanye hutaki adha za daladala; Ukiwa pale Mnazi mmoja kuna usafiri wa kutosha wa watu binafsi (gari ndogo, bajaj au pikipiki) kuelekea Gongo la Mboto na nauli yake ni kati ya sh. 2000/= na 3000/=. Tuchukue maximum sh. 3,000/=,. Je, sh. 6,000/= kwenda na kurudi zitaweza kukidhi mahitaji ya mafuta katika gari yako?
kama kwa mahesabu yako nauli ni elfu sita, hujala wala kunywa gharama za jumla kwa siku na mwenye IST mtatofautiana mi2aumia3🐒