Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
unajikaza tu ila cha moto unakiona 🐒Mimi ninaishi mbagala, na kazi nafanya bunju, ila nauli yangu kwa siku ni 3800!!niambie hiyo 400,000 kwa mwezi inafikaje kama utatumia daladala?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajikaza tu ila cha moto unakiona 🐒Mimi ninaishi mbagala, na kazi nafanya bunju, ila nauli yangu kwa siku ni 3800!!niambie hiyo 400,000 kwa mwezi inafikaje kama utatumia daladala?
Mkuu karibu sana ofisini.Kutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni.
Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500 kwenda na 1500 kurudi yaani 3k nenda rudi.
Sasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu? Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.
Libarikiwe tumbo lililokubeba.Unaongea usichokijua!!!!
Tufanye mimi ninayegeuza na gari sababu sipendi kusimama
Chanika to gongo la mboto 800
Gongo la mboto to posta 1200
2000 ×2 = 4000, 4000 ×30= 120,000
Route 2
Chanika to M/complex 2100
M/complex to posta 600
Jumla 2700×2=5400, 5400×30= 162,000
NB: HII NI KWA WALE WANAOPENDA KUGEUZA NA GARI! KUMBUKA SIO KILA SIKU MTU ATAENDA MJINI.
Aya hiyo laki nne ipo wapi???
Etugrul Bey
Mmmmh kakaa..!!Kutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni.
Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500 kwenda na 1500 kurudi yaani 3k nenda rudi.
Sasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu? Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.
Usichukulie serious lakini, [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona nilishasema mi ndo mwana jf nisie na gari
Asante Luca!Libarikiwe tumbo lililokubeba.
Mungu amekujalia akili nyingi sanaa.
YaaanKabisa
ila la mimi kutamani siku moja nimchinje mmoja lichukulie seriousUsichukulie serious lakini, [emoji23][emoji23][emoji23]
Usumbufu wa public transport ndio shida na mara nyingi hawendi na mda wa mteja labda bodaboda.Kutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni.
Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500 kwenda na 1500 kurudi yaani 3k nenda rudi.
Sasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu? Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.
Mbagala posta Bei ya juu ni Tsh 1000 tu Kwa daladalawanao kaa mbagala, gongo la mboto na chanika wanafanya kazi posta na masaki japo wanalipa nauli lakini garama ya hiyo nauli kwa siku ni sawa na wanao miliki magari tu....nauli kwa mwezi laki4 mshahara laki7
wa mbagala wanakuangalia kwa uchungu 🐒Mbagala posta Bei ya juu ni Tsh 1000 tu Kwa daladala
Hapo ni sawa na 2000 × 30 = 60,000
Hata mtu anayekaa Mkuranga hiyo hela halifiki, maana atatumia maximum 5000 Kwa siku ambayo ni 150k Kwa mwezi.
Huwezi ukawa una mshahara wa laki 7 halafu utumie bajaji kila siku.
In short hakuna mkoa wenye gharama nafuu za usafiri kama Dar es salaam
Nikitegemea useme gharama Yake ipo kwenye foleni
Si wanataka sifa.Tatizo la wabongo wananunua mashangingi badala ya kununua magari simple ya kuweza kuhudumia ,alafu ukiwa njiani pakia vi abiria upate Hela za mafuta
Kutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni.
Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500 kwenda na 1500 kurudi yaani 3k nenda rudi.
Sasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu? Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.
Uza gari ununue mafuta mkuu.Kutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni.
Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500 kwenda na 1500 kurudi yaani 3k nenda rudi.
Sasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu? Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha kitu, nweiiiila la mimi kutamani siku moja nimchinje mmoja lichukulie serious
😂😂😂😂😁😁😁😆😆😆🤪🤪 Mtu ya mjini Darslamu 😀😀Kasema mshahara 700k,nauli 400k.
Ila msimbeze..anaweza kuwa sahihi. Kuna jamaa yangu anaishi Chanika na familia yake.
Anafanya kazi Makumbusho na mke wake anafanya kazi Mnazi mmoja.
Kutoka kwake mpaka kituo cha daladala lazima wapande bodaboda kwa 1500 na hawawezi kupanda "mshikaki"
(Hii ni kwenda kituoni tu,kuna wakati wa kurudi pia)
Ana mtoto wa shule,anamlipia 35k kwa mwezi.
Jamaa anapata shida sana mpaka anatamani arudi mjini akapange ila mke wake hashauriki.
Kipindi cha mvua ndo inakuwa balaa..
Ila uongozi wa Samia unawafukarisha sana watu aisee!Uwongo sio mzuri Chief,, usiongee Just kuwafurahisha watu,mtu anayekaa chanika na kufanya kazi posta hutumia buku tatu kwenda na kurudi.
Atapanda mpk gmboto nauli 800 then kutoka pale mpk posta 700 jumps 1,500 na kurudi hivyo hivyo
Ruti namba mbili anapanda kutoka chanika mpk machinga complex 1,300 na pale mpk posta 600 jumla 1,900 na kurudi jumla 3,800
Haya laki nne yatoka wapi?
Nunua passoKutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni.
Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500 kwenda na 1500 kurudi yaani 3k nenda rudi.
Sasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu? Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.
Mwezi wa mfungo unakuja, ccm wabaguzi hawajatoa tamko la punguzo?Kutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni.