Nimeamua kupaki gari nitumie usafiri wa umma

Kutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni.

Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500 kwenda na 1500 kurudi yaani 3k nenda rudi.

Sasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu? Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.
Jambo la msingi sana, maisha nikuchange na mazingira, mambo yakikaa sawa unaweza rudi na ratiba zako kama awali
 
kama kipato chako kwa mwezi ni chini ya milioni 6 usinunue gari ,vinginevyo utakuwa mwizi au mtumwa wa maisha yako mwenyewe, by genarali ulimwengu.

sio dhambi kabisa kupanda usafiri wa uma,tena huwa nashangaa mtu anaenda mpaka posta kwa piki piki ya kukodi shilingi elfu 7/7 kila siku,najiuliza kwani kama ana haraka si aamke walau saa moja!!!!

anyway kila mtu na hela zake,ila generali alishauri hivyo hapo juu.
Aiseee hapo sasa kuna uongo mwingi
 
Kuna tatizo kubwa la watanzania wengi kutokubaliana na ukweli wa hali zao. Mtu anajikamua na kununua gari bila kujali kuwa gari linahitaji pesa liweze kutumika. Kama una kipato cha chini ya 26m kwa mwaka achana na mambo ya gari. Sio level yako.
Tatizo la wabongo wananunua mashangingi badala ya kununua magari simple ya kuweza kuhudumia ,alafu ukiwa njiani pakia vi abiria upate Hela za mafuta
 
Unachukua mawazo ya Ulimwengu kama ndio hali halisi. Kuna gari nyingi na watu wana matumizi tofauti kuna watu fuel bill yao kwa mwezi haizidi 400,000/- sasa huyu nae atahitaji 6m salary?
Ulimwengu ni mzee kashapita stages nyingi he is out of touch.
Kama mshahara wako gross ni pungufu ya mil 6 ni hasara kupanda private car Dar. Hakikisha kipato chako Kwa mwezi ni mill 6 either mshahara, au mshahara na madeal mengine.
 
Kutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni.

Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500 kwenda na 1500 kurudi yaani 3k nenda rudi.

Sasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu? Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.
Mzee Naishi Italian Na IST nikizama kituoni nazoa watu 1,000@4 =4,000/= Mpaka Lami….Naoza tena 2,000@4=8,000/= mpka Gomz gomz nazoa 2,000@4= 8,000/= mpka Mnazi mmooja Almost 21,000/= Lita Saba IST consumption Liter 1 km 18 cha kufia nini hela ya mshahara ni kwaajili ya Service tu at the end of the month 🚶🏻‍♂️
 
wanao kaa mbagala, gongo la mboto na chanika wanafanya kazi posta na masaki japo wanalipa nauli lakini garama ya hiyo nauli kwa siku ni sawa na wanao miliki magari tu....nauli kwa mwezi laki4 mshahara laki7
ingia kituoni kufa na watu beba watu 2,000/= hutajuta
 
Back
Top Bottom